Kwa mwanaume yoyote hasa ambao wamekomaa kiakili mpaka kuamua kuwa na familia yake mwenyewe, na pia hasa pale anapokua na watoto, by nature anapaswa kuwa mlinzi wa watoto. Awalinde wanae na pia alinde watoto wa society yake. Mwanaume ni mlinzi wa jamii, iko hivyo hata ktk wanyama wengine.
Inapotokea unakua chanzo cha kuharibu maisha ya mtoto yeyote, inamaana kuwa ww ni psychopath, na unapaswa utengwe na jamii kwa faida ya ustawi wa jamii nzima. Ukiona ww ni mwanaume mwenye sifa nlizozitoa kwenye aya ya kwanza alafu unamawazo ya kumla binti wa 15yrs jua ww ni pedophile. Hakuna kukwepesha.
Sio kwamba hivi vitoto haviliwi, la hasha, ila vinaliwa na watoto wenzao. Ndo maana wengi wetu humu tulipewa kwa mara ya kwanza na ma HG, ni part ya ukuaji. Bt a 30y.o man with a girl child kwa kweli jichunguze, u are not normal.
Kwa maana hiyo, kama HG akiwa ni mtu mzima kiakili, hapo suala sasa linabadilika kutoka psychopath hadi kuwa ukosefu wa maadili. Yaani kwamba akili yako ipo sawa ila kama ambavyo huwezi tema mate ndani ya basi pamoja na kujisikia kufanya hivyo, kiustaarabu unapaswa ujizuie. Ndiyo sometimes unashindwa basi walau hakikisha unapotema hayo mate hayamgusi na kumchafua mtu mwingine, na tafuta suluhu kwa wale uliowakwaza na ikiwezekana chukua kitambaa safisha ulipochafua na uiahidi nafsi yako kuwa aibu hii kamwe hutakaa uirudie.