Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,474
- 4,007
Wana Bodi,
Hivi wale Wenyeviti wa mtaa kutoka Cuf na Chadema waliounga juhudi na kuhamia CCM, je wamerejeshwa kugombea tena uenyekiti kwenye chama tawala? kama hapana tupe ushuhuda ya unapojua, unafikiri kwanini hawakupewa nafasi ya kugombea kama wapo ambao hawakupewa.