Wale wote mliofanikiwa kwenye biashara na watafutaji pitieni hapa


Tatizo ni kwamba watu wana dhana waliofanikiwa kibiashara ni matajiri/bilionea, sasa mimi mwenye genge nikiwambia nimefanikiwa wananiona kichaa, wakati mafanikio ni swala binafsi.
 
si kweli wengi wanasema mengine yako wazi kwenye kimtandao,na biashara zao ziko wazi na kwenye interview wanasema na ukiangalia unaona sawa kabisa

Sawa mkubwa nimekuelewa nadhani unakumbuka wachina waliokamatwa mikocheni kama sikosei mwaka jana hivi walikamatwa na vipande vingi vya meno ya tembo karibia vipande 700,biashara waliokuwa wanafanya ya kuonekana ni kuuza vitunguu na ndimu lakini nyuma ya pazia biashara kuu ilikuwa ni kuuza meno ya tembo,kilo moja ya meno ya tembo kwa china ni kama mil5,Majirani wao hapo mikocheni walikuwa wanajua kwamba hao wachina ni wauza vitunguu tu,Sasa design ya hao wachina watakueleza kweli siri ya kufanikiwa kwao au utajiri walivyoupata?


https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...akamatwa-jijini-dar-nyumbani-kwa-wachina.html

MICHUZI BLOG: wachina wakamatwa na vipande 700 vya meno ya tembo dar es salaam

GOLDEN BLOG TZ: Wachina wakamatwa na vipande 700 vya meno ya tembo Mikocheni Dar es Salaam
 
sorry ingekuwa ni vyema ukatutolea hizo nondo kwanza kisha tukakueleaza tulipofikia katika mafanikio yetu kwani
itategemea na mtu kwa mtu yeye alifanikiwaje kutoka sehemu moja kwenda sehemu hingine best
 
Ok. Tuseme nimeanzisha bar ikapiga kazi nikapata hela. Unataka nikuambie nini sasa?
 
bado kwakweli hadi mwaka mmoja niitegemee biashara tu ndipo nitajua hiki kimetokana biashara pekee sio ajira. Mswahili na kutunza hesabu ngumu account zimechanganyika.
Mdogomdogo tutaleta mrejesho

nitakukaribisha shambani kwangu siku moja
 
Ni PM nikupe namba ya simu ya dada mmoja namjua, anafanya biashara ya nguo na viatu, katoka Uganda juzi tu.
 
mimi ni mjasiriliamali nimefanikiwa na biashara ya forever living product na mafanikio ni mengi sana kwa watu wa forever living products kwa mimi nipigie 0755623860 kwa nanetaka kufanya biashara hii kwa njia ambazo tunazifanya mafanikio kwetu ni kawaida....
 

acha kutuchafulia uzi
 
Kwa Tanzania bado sijapata email ila kutoka Uganda nimepata 35, Kutoka Kenya 52 ,Kutoka Rwanda 5,Congo 2,United states 5 etc.

Hakuna mtanzania ata mmoja aliotuma wote raia wageni ila nashukuru.

Hao raia wa kigeni nilitumia mitandao ya kwao kuwajulisha.

Kazi ya uelimishaji itaanza mwezi ujao katikati na elimu itatolewa bure ( Kwa Hisani ya Money Stunna )
 

Tunasubiri kwa hamu mkuu...
 
kila penye mafanikio pana vikwazo kadri mtu unaozidi kupiga hatua vikwazo vingi vinaibuka how to overcome ni kutokata tamaa na kuwa na subira ...sisi tulianza na stationary 2011mwanzoni ilikuwa ngumu sana kwa siku unaweza hata usiuze ila kwa biashara kama ile mtu unatakiwa uwe na at least vitu vinavyoweza kukusaidia kuendesha biashara hiyo kwa sababu biashara kama ile ni ngumu kujiendesha yenyewe kwaiyo mfano kama sisi kwa kutumia stationary hiyohiyo tukaanzisha huduma ya M-pesa na Airtelmoney na huduma ya Max-malipo ambazo at least inasaidia. thats all
 

Count me in boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…