warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwezi ujao katikati ndio huu mkuu, tunashukuru sana kwa moyo wako, sijakuemail maana bado bado sana, nitaomba unipe ushauri kuhusu soko lipi unaona bado halijavamiwa sana kwa nchi yetu na je mbali na hizi za kusafiri miradi ipi unaweza mshauri mtu aanze. Nikiwa na la kushare nami nitawashirikisha.Kwa Tanzania bado sijapata email ila kutoka Uganda nimepata 35, Kutoka Kenya 52 ,Kutoka Rwanda 5,Congo 2,United states 5 etc.
Hakuna mtanzania ata mmoja aliotuma wote raia wageni ila nashukuru.
Hao raia wa kigeni nilitumia mitandao ya kwao kuwajulisha.
Kazi ya uelimishaji itaanza mwezi ujao katikati na elimu itatolewa bure ( Kwa Hisani ya Money Stunna )
mimi nimefanikiwa kwa maana nilianza na tsh 200 leo nimefikisha tsh 300, nahii imenihangaisha miaka. miwili kuifikisha mia 3
Naona kuna uwezekano wa watoto kuanza kujaa huku sasa. Money stunna namshukuru sana namfuatilia sana huyu jamaa namkubali sana tuu, amekija na jambo la kheri na jema kabisa ila sasa watu wengine wamepokea ujumbe kwa kukejeli. Ivi tupewe nini sisi turidhike na kushukuru mkuu The Boss naona unajaribu kuwelimisha watu wasioelewa pole,
Jaman tubadilike tujibu hoja kutokana na kilichoulizwa am done.
Nyie ndo wazushi msiotakiwa humu, mna roho mbayaa.
sunola kwenye msafara wa mamba kenge wapo wamepaka shedo.,muhim ku-keep intouch na uzi,hata bungen wale walokua pale ndo wameonekana cream majimbon mwao ila kuna watukanaj,walalaji,wapiga picha za hatari,wategaj wa vikao na wapiganaj,
kuna wengine wanawaita wenzao TUMBILI
Siri ya matajiri/waliofanikiwa hawawezi kukwambia.