Wale wote mliofanikiwa kwenye biashara na watafutaji pitieni hapa

Kwa Tanzania bado sijapata email ila kutoka Uganda nimepata 35, Kutoka Kenya 52 ,Kutoka Rwanda 5,Congo 2,United states 5 etc.

Hakuna mtanzania ata mmoja aliotuma wote raia wageni ila nashukuru.

Hao raia wa kigeni nilitumia mitandao ya kwao kuwajulisha.

Kazi ya uelimishaji itaanza mwezi ujao katikati na elimu itatolewa bure ( Kwa Hisani ya Money Stunna )
mwezi ujao katikati ndio huu mkuu, tunashukuru sana kwa moyo wako, sijakuemail maana bado bado sana, nitaomba unipe ushauri kuhusu soko lipi unaona bado halijavamiwa sana kwa nchi yetu na je mbali na hizi za kusafiri miradi ipi unaweza mshauri mtu aanze. Nikiwa na la kushare nami nitawashirikisha.
 
Naona kuna uwezekano wa watoto kuanza kujaa huku sasa. Money stunna namshukuru sana namfuatilia sana huyu jamaa namkubali sana tuu, amekija na jambo la kheri na jema kabisa ila sasa watu wengine wamepokea ujumbe kwa kukejeli. Ivi tupewe nini sisi turidhike na kushukuru mkuu The Boss naona unajaribu kuwelimisha watu wasioelewa pole,

Jaman tubadilike tujibu hoja kutokana na kilichoulizwa am done.
 
sunola kwenye msafara wa mamba kenge wapo wamepaka shedo.,muhim ku-keep intouch na uzi,hata bungen wale walokua pale ndo wameonekana cream majimbon mwao ila kuna watukanaj,walalaji,wapiga picha za hatari,wategaj wa vikao na wapiganaj,
kuna wengine wanawaita wenzao TUMBILI
 
Last edited by a moderator:

Kweli kabisa umenena Mkoroshokigoli nda hapa tutawaona wengi sana cha muhimu ni kama ulivyonena
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom