Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Mbegu zenyewe zipo mjini, soko liko mjini dah!!Mliosoma kilimo na nyie mnatafuta connection wakati Tanzania ina ardhi kubwa ya kulima !!
Nenda Mbeya au Rukwa ukalime boss,connection zitakufata ukiwa shambani hicho ndio alichofanya jamaa yangu mhitimu wa kada ya kilimo ss hivi ana pigi deal za kilimo pia ofa kibao za kazi anachagua tu.
Matrekita na majembe ya kulimia yote yapo mjini,wasomi wote wapo mjini.Mbegu zenyewe zipo mjini, soko liko mjini dah!!
Nifafanulie hyoKuna SUGECO boss ya Prof. Anna Temu kwa nini usiitumie?????
Kama ni muhitimu wa mafunzo ya kilimo kuanzia Diploma mpaka Degree basi njoo hapa tupeane updates za ajira/kazi hata temporary term iwe serikalini, Taasisi za kiserikali, kampuni binafsi, Mashamba mbalimbali makubwa n.k
KARIBUNI SANA VIJANA.
Ndiyo Ukweli WenyeweConnection zioo shambani mkuu.
Anza na eneo dogo kadri ya uwezo wako.
Agricultural Engineer napita hapa