Mzee Wa Republican
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 1,666
- 847
Aisee hivi hawa jamaa wanaajiriwa sehemu gani jamani ? Naombeni majibu tafadhaliAgricultural Engineer napita hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee hivi hawa jamaa wanaajiriwa sehemu gani jamani ? Naombeni majibu tafadhaliAgricultural Engineer napita hapa
kilimo kinataka mtaji na icho ndio kinachowasumbua wahitimu wengi, hakuna muhitimu wa kilimo asiye na wazo la kuwekeza kwenye kilimo, na ndio maana wanatafuta ajira yoyote lengo kupata mtaji, msomi anawaza kilimo cha kisasa, na kilimo cha kisasa chenye tija kinataka mtaji mkubwa kuliko unavyofikiri.Mliosoma kilimo na nyie mnatafuta connection wakati Tanzania ina ardhi kubwa ya kulima !!
Nenda Mbeya au Rukwa ukalime boss,connection zitakufata ukiwa shambani hicho ndio alichofanya jamaa yangu mhitimu wa kada ya kilimo ss hivi ana piga deal za kilimo pia ofa kibao za kazi anachagua tu.
Mkuu. Popote pale mtaji ndio solution ya matatzokilimo kinataka mtaji na icho ndio kinachowasumbua wahitimu wengi, hakuna muhitimu wa kilimo asiye na wazo la kuwekeza kwenye kilimo, na ndio maana wanatafuta ajira yoyote lengo kupata mtaji, msomi anawaza kilimo cha kisasa, na kilimo cha kisasa chenye tija kinataka mtaji mkubwa kuliko unavyofikiri.
mnaotoka familia za walala heri mnakuaga na kejeli sana Kwa walala hoi.Mkuu. Popote pale mtaji ndio solution ya matatzo
But ukija na technique issue ya kuipata hapo ndipo tuna sema Elimu yako imekusaidia kujikimu,
Ila unasoma then unasema nimekosa mtaji basi Elimu yako
Haijakusaidia chochte
Lengo kubwa ya kusoma ni kubambana na mattizo ,
Na mtaji ni moja ya tatzo
So inaonekana bado aujaiva kielim bali huna certificate [emoji23]