mathsjery
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 2,249
- 1,813
Wakati wa asubuhi, hakikisha kifungua kinywa kina range kati ya saa kumi na mbili mpaka saa mbili hapa ni kama hauna familia, au uko kazini. Kama una familia basi isivuke saa nne asubuhi.
Wakati wa mchana, hakikisha mlo wa mchana unakuwa kati ya saa sita mpaka saa saba mchana ulivuka hapa we mzembe.
Wakati wa jioni/usiku, hakikisha mlo wako unakuwa kati ya saa moja mpaka saa mbili usiku yaani unakula uku unatazama taarifa ya habari.
Nb, usile ndizi za kupika usiku, usile vyakula ambavyo ni rojo sana wakati wa usiku.
Ni hayo tu.😀