Wale wote tunaokula milo mitatu kwa siku, hii ndo ratiba inayoendana na afya ya mwili

Wale wote tunaokula milo mitatu kwa siku, hii ndo ratiba inayoendana na afya ya mwili

Wale wa bf saa 4..lunch saa 9-10.. dinner saa 3-4...mnatushauri vipi?
 
Sisi tunaokunywa chai saa 2, kisha tunarudi kulala. Tunaamka saa 4 tunakunywa uji wa lishe, saa 7 tunapata lunch. Saa 10 tunapata fruits halafu SAA mbili usiku dinner. Hii ipo poa? Au kuna maboresho?
Hii latiba inatufaa sisi wenye miiri midogo iri angarau tupate mwiri kidogo.

(Vipi mwarimu naandika vizuli?)
 
😂😂😂😂Kabla sijasoma vizuri nilijua ni digba sowey kumbe ni my babe troublemaker.
Nyie wenye miili midogo hamuwezi kula sana matumbo yatachanika. Hiyo kazi tuachieni sisi.

😀 Hata hivyo ni kweri tuxio na miiri huwa haturi xana & vice versa.

(Rire somo tunaanza rini xaxa mwarimu?)😉
 
Wakati wa asubuhi, hakikisha kifungua kinywa kina range kati ya saa kumi na mbili mpaka saa mbili hapa ni kama hauna familia, au uko kazini. Kama una familia basi isivuke saa nne asubuhi.

Wakati wa mchana, hakikisha mlo wa mchana unakuwa kati ya saa sita mpaka saa saba mchana ulivuka hapa we mzembe.

Wakati wa jioni/usiku, hakikisha mlo wako unakuwa kati ya saa moja mpaka saa mbili usiku yaani unakula uku unatazama taarifa ya habari.

Nb, usile ndizi za kupika usiku, usile vyakula ambavyo ni rojo sana wakati wa usiku.
Ni hayo tu.[emoji3]
Wataalamu wanasema tusile huku tunaangalia tv au kuchezea simu
 
Back
Top Bottom