Unafanya kazi cafeteria?Sisi tunaokunywa chai saa 2, kisha tunarudi kulala. Tunaamka saa 4 tunakunywa uji wa lishe, saa 7 tunapata lunch. Saa 10 tunapata fruits halafu SAA mbili usiku dinner. Hii ipo poa? Au kuna maboresho?
Hata mimi najishangaa. Itakuwa nafanya cafeteria indirect.Unafanya kazi cafeteria?
Hapa naona umuhimu wa choo,jikoni na bedroom tuuSisi tunaokunywa chai saa 2, kisha tunarudi kulala. Tunaamka saa 4 tunakunywa uji wa lishe, saa 7 tunapata lunch. Saa 10 tunapata fruits halafu SAA mbili usiku dinner. Hii ipo poa? Au kuna maboresho?
Corona ikiisha utakuwa mnono sanaHata mimi najishangaa. Itakuwa nafanya cafeteria indirect.
Kila nikisema nanunua vitu vya kutosha kula mwezi mzima nijifungie ndani kuepuka corona, vinaisha ndani ya wiki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Sijui nina mpango gani kwa kweli๐๐๐
Mkuu hilo tumbo mnakuwa wangapi?Sisi tunaokunywa chai saa 2, kisha tunarudi kulala. Tunaamka saa 4 tunakunywa uji wa lishe, saa 7 tunapata lunch. Saa 10 tunapata fruits halafu SAA mbili usiku dinner. Hii ipo poa? Au kuna maboresho?