Mr. Mobile
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,439
- 1,633
M-Pesa Virtual MasterCard Accepted.kwenye upande wa njia ya malipo unaweza kutumia master card ya M-pesa kulipa?
Asante mkuuM-Pesa Visual MasterCard Accepted.
Si mchezo🔥💥🔥🔥
Jaribu kuflash mkuu!!Hey guys mimi ni mwanafamilia mgeni wa XIAOMI natumia XIAOMI MI PAD 3 ni wi-fi tablet nilipewa na ndugu yangu niitumie chuoni katika masomo yangu ila akanipa sharti moja tu nisi RESET ila hakunambia kwanini nikakubali nikalog in google account yangu nikaendelea kuitumia sasa juzi nikaconnect na PC kwa USB ikawa imesoma lakini haioneshi kitu wakati naendelea kurekebisha nikagusa mahali device ikajilock baada ya hapo ikanitaka niingie password za MI account iweze kufunguka nikamwambia yule alienipa simu akasema hazijui ndomana alinambia nisi reset ikabidi nijaribu njia mbalimbali za kureset password ya MI account nikashindwa nikaiwasha tablet under recovery mode nika wipe everything sasa kila nikireboot inasema NO OS INSTALLED ukireboot inakaa hivo hvo na alama ya XIAOMI haiwaki kuendelea hapo naomba msaada kwa mtu yeyote anaeweza kufix hili tatizo anielekeze au hata fundi mtaalamu ataeweza kufix
Natanguliza shukurani
oJaribu kuflash mkuu!!
Fuatilia hizi link:-
How to flash Xiaomi.eu ROM on Mi Pad 3 (cappu) - Xiaomi Firmware
Hello, guys! Let’s not forget about MiPad 3 tablet PC and check out the method on how to flash Xiaomi.eu multilingual ROM using the SP Flash Tool. As far as I know, this method will work both on unlocked and locked bootloader.Advertisement Flash Xiaomi.eu ROM on MiPad 3 with locked / unlocked...xiaomifirmware.com
ROM Global For Mi PAD 3 using Flashtool with Google Play 100% Working - Mi Pad 3 - Xiaomi MIUI Official Forum
ROM Global For Mi PAD 3 using Flashtool with Google Play 100% Working ,Xiaomi MIUI Official Forumen.miui.com

Nenda ukaflash ila mi account haitokagiHey guys mimi ni mwanafamilia mgeni wa XIAOMI natumia XIAOMI MI PAD 3 ni wi-fi tablet nilipewa na ndugu yangu niitumie chuoni katika masomo yangu ila akanipa sharti moja tu nisi RESET ila hakunambia kwanini nikakubali nikalog in google account yangu nikaendelea kuitumia sasa juzi nikaconnect na PC kwa USB ikawa imesoma lakini haioneshi kitu wakati naendelea kurekebisha nikagusa mahali device ikajilock baada ya hapo ikanitaka niingie password za MI account iweze kufunguka nikamwambia yule alienipa simu akasema hazijui ndomana alinambia nisi reset ikabidi nijaribu njia mbalimbali za kureset password ya MI account nikashindwa nikaiwasha tablet under recovery mode nika wipe everything sasa kila nikireboot inasema NO OS INSTALLED ukireboot inakaa hivo hvo na alama ya XIAOMI haiwaki kuendelea hapo naomba msaada kwa mtu yeyote anaeweza kufix hili tatizo anielekeze au hata fundi mtaalamu ataeweza kufix
Natanguliza shukurani
umefanya mistake kubwa hapo kaka Mi account kubypass ni kazi mno jarbu kuipeleka kkoo kwa baadhi ya mafundi wachache wanaweza lakin baada ya hapo hyo tablet itakua inakusumbua mambo mengi na hutaweza kuupdate tena na ukirestore tena itajilock kama kawaida uchawi wa Mi account ni kukumbuka passwordHey guys mimi ni mwanafamilia mgeni wa XIAOMI natumia XIAOMI MI PAD 3 ni wi-fi tablet nilipewa na ndugu yangu niitumie chuoni katika masomo yangu ila akanipa sharti moja tu nisi RESET ila hakunambia kwanini nikakubali nikalog in google account yangu nikaendelea kuitumia sasa juzi nikaconnect na PC kwa USB ikawa imesoma lakini haioneshi kitu wakati naendelea kurekebisha nikagusa mahali device ikajilock baada ya hapo ikanitaka niingie password za MI account iweze kufunguka nikamwambia yule alienipa simu akasema hazijui ndomana alinambia nisi reset ikabidi nijaribu njia mbalimbali za kureset password ya MI account nikashindwa nikaiwasha tablet under recovery mode nika wipe everything sasa kila nikireboot inasema NO OS INSTALLED ukireboot inakaa hivo hvo na alama ya XIAOMI haiwaki kuendelea hapo naomba msaada kwa mtu yeyote anaeweza kufix hili tatizo anielekeze au hata fundi mtaalamu ataeweza kufix
Natanguliza shukurani
Pole boss mimi pia nili order Mac 2 nakumbuka one day after releasing ya Note 7 global after ila akaship 16 Mac na Mac 22 ikafika TZ hadi Mac 24 ninayo mkononi Mkuu ni ya 4 Ram na 64gb kwa huyo huyo FantasyAcha kabisa ndugu niko naisotea redmi note 7 ram 4 GB / ROM 128 GB
Baada ya siku 18 ikawa shipped now naisotea siku nyingine za kufika Dar hata Track number bado haijaanza kusoma
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi siku ya 12 sasa nasotea hiyo redmi note 7, jamaa hajaiship badoPole boss mimi pia nili order Mac 2 nakumbuka one day after releasing ya Note 7 global after ila akaship 16 Mac na Mac 22 ikafika TZ hadi Mac 24 ninayo mkononi Mkuu ni ya 4 Ram na 64gb kwa huyo huyo Fantasy
Ataship tu mkuu vumilia uone hadi 20 boss.Mimi siku ya 12 sasa nasotea hiyo redmi note 7, jamaa hajaiship bado
Zamani dakika chache baada ya malipo wanasend parcel na wakichelewa haizidi siku 3 na baada ya siku 12-21 kitu kinajaa mkononi.Ataship tu mkuu vumilia uone hadi 20 boss.
doh!Zamani dakika chache baada ya malipo wanasend parcel na wakichelewa haizidi siku 3 na baada ya siku 12-21 kitu kinajaa mkononi.
Msoto wa sasa ni balaa yaani 20+21 mwezi na wiki 2 za kusubiria
Kuna baadhi ya seller bado wapo fasta Sana mfano Lenovo, niliagiza Z5 na hivi juzjuzi K5 Pro seller alituma mzigo masaa machache tu baada ya malipoZamani dakika chache baada ya malipo wanasend parcel na wakichelewa haizidi siku 3 na baada ya siku 12-21 kitu kinajaa mkononi.
Msoto wa sasa ni balaa yaani 20+21 mwezi na wiki 2 za kusubiria
Umechukua kwa seller yupi? Au Lenovo official store?Kuna baadhi ya seller bado wapo fasta Sana mfano Lenovo, niliagiza Z5 na hivi juzjuzi K5 Pro seller alituma mzigo masaa machache tu baada ya malipo
Sent using Jamii Forums mobile app
Official storeUmechukua kwa seller yupi? Au Lenovo official store?
Maana kama analalamikiwa kutokuwa mwaminifu
Hapa pia angalia ulichukua simu kipindi gani. Mfano mm niliagiza simu kadhaa kwenye anniversary sale, seller akanambia kabisa kwamba mzigo utachelewa kutumwa sababu ya wingi wa order alizonazo kutokana na hiyo sale.Zamani dakika chache baada ya malipo wanasend parcel na wakichelewa haizidi siku 3 na baada ya siku 12-21 kitu kinajaa mkononi.
Msoto wa sasa ni balaa yaani 20+21 mwezi na wiki 2 za kusubiria