Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

D3JYnAAVYAEvf3V%282%29.jpeg
 
Hey guys mimi ni mwanafamilia mgeni wa XIAOMI natumia XIAOMI MI PAD 3 ni wi-fi tablet nilipewa na ndugu yangu niitumie chuoni katika masomo yangu ila akanipa sharti moja tu nisi RESET ila hakunambia kwanini nikakubali nikalog in google account yangu nikaendelea kuitumia sasa juzi nikaconnect na PC kwa USB ikawa imesoma lakini haioneshi kitu wakati naendelea kurekebisha nikagusa mahali device ikajilock baada ya hapo ikanitaka niingie password za MI account iweze kufunguka nikamwambia yule alienipa simu akasema hazijui ndomana alinambia nisi reset ikabidi nijaribu njia mbalimbali za kureset password ya MI account nikashindwa nikaiwasha tablet under recovery mode nika wipe everything sasa kila nikireboot inasema NO OS INSTALLED ukireboot inakaa hivo hvo na alama ya XIAOMI haiwaki kuendelea hapo naomba msaada kwa mtu yeyote anaeweza kufix hili tatizo anielekeze au hata fundi mtaalamu ataeweza kufix
Natanguliza shukurani
 
Jaribu kuflash mkuu!!
Fuatilia hizi link:-

sawa mkuu ngoja nipate utulivu nifanye hivo
Jaribu kuflash mkuu!!
Fuatilia hizi link:-

o
 
Nenda ukaflash ila mi account haitokagi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umefanya mistake kubwa hapo kaka Mi account kubypass ni kazi mno jarbu kuipeleka kkoo kwa baadhi ya mafundi wachache wanaweza lakin baada ya hapo hyo tablet itakua inakusumbua mambo mengi na hutaweza kuupdate tena na ukirestore tena itajilock kama kawaida uchawi wa Mi account ni kukumbuka password

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kabisa ndugu niko naisotea redmi note 7 ram 4 GB / ROM 128 GB
Baada ya siku 18 ikawa shipped now naisotea siku nyingine za kufika Dar hata Track number bado haijaanza kusoma

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole boss mimi pia nili order Mac 2 nakumbuka one day after releasing ya Note 7 global after ila akaship 16 Mac na Mac 22 ikafika TZ hadi Mac 24 ninayo mkononi Mkuu ni ya 4 Ram na 64gb kwa huyo huyo Fantasy
 
Zamani dakika chache baada ya malipo wanasend parcel na wakichelewa haizidi siku 3 na baada ya siku 12-21 kitu kinajaa mkononi.
Msoto wa sasa ni balaa yaani 20+21 mwezi na wiki 2 za kusubiria
doh!
nilikuwa nataka niagize redmi 7 naitaka kabla ya 2 weeks lakini kwa mtindo huu itabidi nifanye ustaarabu wa kuchukua galaxy a10 hapa hapa tu
 
Zamani dakika chache baada ya malipo wanasend parcel na wakichelewa haizidi siku 3 na baada ya siku 12-21 kitu kinajaa mkononi.
Msoto wa sasa ni balaa yaani 20+21 mwezi na wiki 2 za kusubiria
Kuna baadhi ya seller bado wapo fasta Sana mfano Lenovo, niliagiza Z5 na hivi juzjuzi K5 Pro seller alituma mzigo masaa machache tu baada ya malipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zamani dakika chache baada ya malipo wanasend parcel na wakichelewa haizidi siku 3 na baada ya siku 12-21 kitu kinajaa mkononi.
Msoto wa sasa ni balaa yaani 20+21 mwezi na wiki 2 za kusubiria
Hapa pia angalia ulichukua simu kipindi gani. Mfano mm niliagiza simu kadhaa kwenye anniversary sale, seller akanambia kabisa kwamba mzigo utachelewa kutumwa sababu ya wingi wa order alizonazo kutokana na hiyo sale.
 
Back
Top Bottom