Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

doh!
nilikuwa nataka niagize redmi 7 naitaka kabla ya 2 weeks lakini kwa mtindo huu itabidi nifanye ustaarabu wa kuchukua galaxy a10 hapa hapa tu
Arlen ww chukua tu! Kama Redmi 7 stock yake ipo ya kutosha na store zipo tatu tofauti zinazotuma: Fantacy Technology, Hongkong Goldway & Eternal Team.
 
Arlen ww chukua tu! Kama Redmi 7 stock yake ipo ya kutosha na store zipo tatu tofauti zinazotuma: Fantacy Technology, Hongkong Goldway & Eternal Team.
so uhakika kuipata ndani ya wiki 2 maana kuna besidei ya mtu yaja kati ya mwezi hapa?
 
Chukua Redmi 7.
Mbona hiyo inacheza kwenye 310,00 hivi na hapo ni black color kwa maana rangi zingine bei inapanda na bado chajuu hakijaongezwa.
Kama ataagiza mwenyewe ahakikishe ana 310K kwenye card ila akiagiziwa hapo aongeze na kibaba cha muagizaji hadi hapo tayari imezidi 300K
 
Anapata ya hii hapa,... Redmi 7 6.26'' HD 2GB 16GB Snapdragon 632 Octa Core 12MP Dual Camera Mobile Phone 4000mAh Battery
 
ohooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…