Mr. Mobile
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,439
- 1,633
Arlen ww chukua tu! Kama Redmi 7 stock yake ipo ya kutosha na store zipo tatu tofauti zinazotuma: Fantacy Technology, Hongkong Goldway & Eternal Team.doh!
nilikuwa nataka niagize redmi 7 naitaka kabla ya 2 weeks lakini kwa mtindo huu itabidi nifanye ustaarabu wa kuchukua galaxy a10 hapa hapa tu