BANGO JEUPE
JF-Expert Member
- Nov 21, 2015
- 3,079
- 2,152
Mi nilisotea siku 18Mimi siku ya 12 sasa nasotea hiyo redmi note 7, jamaa hajaiship bado
Hiyo imeshatumwa,... Naisubiri kuitia mkononi tuHiyo ya chini kumbeee unaisotea siku 12 sasa
Inakuwaje hapo niliyeagiza 26/03 nasotea nawewe uliyeagiza mbele yangu 28/03 tayari kaship mzigo wako?Hiyo imeshatumwa,... Maisubiri kuitia mkononi tu
Inategemea ulichagua simu yenye specs zipi,... Maana huwa zinatofautiana kwenye uwepo wa stock. Pia nilimsisitizia kuwai kituma mzigo kwa wakati.Inakuwaje hapo niliyeagiza 26/03 nasotea nawewe uliyeagiza mbele yangu 28/03 tayari kaship mzigo wako?
Labda hapo kwenye specs kama kusisitiza huwa nafanya Mara zote niagizapoInategemea ulichagua simu yenye specs zipi,... Maana huwa zinatofautiana kwenye uwepo wa stock. Pia nilimsisitizia kuwai kituma mzigo kwa wakati.
Vipi kuhusu kodi za TRA
"Tulipe Kodi Kwa Maendeleo Ya Taifa Letu"Vipi kuhusu kodi za TRA
Fafanua hapo mkuu"Tulipe Kodi Kwa Maendeleo Ya Taifa Letu"
Mara nyingi ukisafirisha kwa njia ya priority mail hakuna mambo ya kodi.
Kuna njia za usafirishaji ukitumia lazima mzigo uulipie kodi hata kama ni mdogo kiasi gani na kuna bidhaa pia lazima zilipiwe kodi hata kama ni ndogo kiasi gani. Sasa kwa sheria za posta mizigo ikisafirishwa kwa njia ya priority mail au standard shipping mara nyingi inakuwa haipo katika list ya bidhaa ambazo zipo fulfilled kulipiwa kodi.
Kava linakuja na simu, ila ni zile silicon case, kwenye upande wa protector inategemea unataka uweke kwa nia gani, maana hii simu ina protector ya Corning Gorilla glass 5 hivo kupata mikwaruzo si rahisi, labda uweke protector kwa sababu zako binafsi.Wakuu nipeni maujanja ya kutomia simu janja ya xiaomi redmi note 7 ni global
Natarajia kuipokea keshokutwa
Kuna vitu gani muhimu vya kufanya ili ifanye kazi kwa ufanisi?
Je nahitaji kuwa na protector na kava?
Bye bye Tecno
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu nipeni maujanja ya kutomia simu janja ya xiaomi redmi note 7 ni global
Natarajia kuipokea keshokutwa
Kuna vitu gani muhimu vya kufanya ili ifanye kazi kwa ufanisi?
Je nahitaji kuwa na protector na kava?
Bye bye Tecno
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante nduguCase tafuta Nillkin itasaidia kuikinga simu, maana unaelewa fika hii simu ina plastic frame na glass body.
View attachment 1066997
Hadi uagize, maana niliwai kuona Nillkin case kwa wahindi fulani, case moja ilikuwa elfu hamsini.
Seller anaeuza hizi kwa note 6 pro nisaidie link boss niangalie ustaarabuCase tafuta Nillkin itasaidia kuikinga simu, maana unaelewa fika hii simu ina plastic frame na glass body.
View attachment 1066997
[emoji15] Ambayo mtandaoni unapata kwa ngapiHadi uagize, maana niliwai kuona Nillkin case kwa wahindi fulani, case moja ilikuwa elfu hamsini.
Kwenye elfu ishirini hivi.
NILLKIN official storeSeller anaeuza hizi kwa note 6 pro nisaidie link boss niangalie ustaarabu