Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Inakuwaje hapo niliyeagiza 26/03 nasotea nawewe uliyeagiza mbele yangu 28/03 tayari kaship mzigo wako?
Inategemea ulichagua simu yenye specs zipi,... Maana huwa zinatofautiana kwenye uwepo wa stock. Pia nilimsisitizia kuwai kituma mzigo kwa wakati.
 
Wakuu nipeni maujanja ya kutomia simu janja ya xiaomi redmi note 7 ni global

Natarajia kuipokea keshokutwa
Kuna vitu gani muhimu vya kufanya ili ifanye kazi kwa ufanisi?
Je nahitaji kuwa na protector na kava?

Bye bye Tecno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fafanua hapo mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna njia za usafirishaji ukitumia lazima mzigo uulipie kodi hata kama ni mdogo kiasi gani na kuna bidhaa pia lazima zilipiwe kodi hata kama ni ndogo kiasi gani. Sasa kwa sheria za posta mizigo ikisafirishwa kwa njia ya priority mail au standard shipping mara nyingi inakuwa haipo katika list ya bidhaa ambazo zipo fulfilled kulipiwa kodi.
 
Wakuu nipeni maujanja ya kutomia simu janja ya xiaomi redmi note 7 ni global

Natarajia kuipokea keshokutwa
Kuna vitu gani muhimu vya kufanya ili ifanye kazi kwa ufanisi?
Je nahitaji kuwa na protector na kava?

Bye bye Tecno

Sent using Jamii Forums mobile app
Kava linakuja na simu, ila ni zile silicon case, kwenye upande wa protector inategemea unataka uweke kwa nia gani, maana hii simu ina protector ya Corning Gorilla glass 5 hivo kupata mikwaruzo si rahisi, labda uweke protector kwa sababu zako binafsi.
 
Wakuu nipeni maujanja ya kutomia simu janja ya xiaomi redmi note 7 ni global

Natarajia kuipokea keshokutwa
Kuna vitu gani muhimu vya kufanya ili ifanye kazi kwa ufanisi?
Je nahitaji kuwa na protector na kava?

Bye bye Tecno

Sent using Jamii Forums mobile app

Case tafuta Nillkin itasaidia kuikinga simu, maana unaelewa fika hii simu ina plastic frame na glass body.
-612612628693569293.jpeg
 
Back
Top Bottom