BANGO JEUPE
JF-Expert Member
- Nov 21, 2015
- 3,079
- 2,152
Mbona Umidigi sio simu mbaya tena ni za gharama nafuu kushinda Tecno.Kama hii F1 ina 128GB na unaipata chini ya laki 5. Sidhani kama kuna simu ya uwezo huo kwa Tecno au infinix utapata kwa Bei hiyo
Ndio sio mbaya halafu wanaandika ukweli kuliko tecno wanaandika camera mp 20 kumbe ni mp 8Mbona Umidigi sio simu mbaya tena ni za gharama nafuu kushinda Tecno.
Wanatumia processor za Mtk lakini sio zile dhaifu kama za Tecno,kama hiyo F1 inatumia Helio P60
Wanaigeria kwenye nairaland forum wanazisifia
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah...me nilizijulia kule nairaland kwenye forum ya wanaigeria. Sio mbaya sema tu jina lake labda ndo maana watu wanaogopaNdio sio mbaya halafu wanaandika ukweli kuliko tecno wanaandika camera mp 20 kumbe ni mp 8
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu vipi hizi earphone zilifika?! Ubora wa sauti ukoje?!QCY qs1 TWS 5.0 Bluetooth headphone 3D stereo wireless earphone with dual microphone
US $19.98 75% OFF| QCY qs1 TWS 5.0 Bluetooth headphone 3D stereo wireless earphone with dual microphone-in Bluetooth Earphones & Headphones from Consumer Electronics on Aliexpress.com | Alibaba Group
zicheki hapa ni real wireless kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Bei zinatofautiana kulingana na RAM, ROM, Color, na njia ya usafirishaji utakayotumia kuleta mzigo.
Halafu hawa Redmi wana disappoint kwenye kitu kimoja,.... Simu ina support quick charge 4.0 lakini wao wanaweka kwenye box charger ya kawaida ya 10W badala 18W yenye uwezo wa kuchaji kwa haraka.ingawa seller aliniweka sana ila hatimaye mzigo upo mkononi
Sasa wanatecno msishtuke kuona mabadiriko yangu
Hii ndio picha ya mwisho kutumia tecno ona camera ilivyo mbovu
Watumiaji wa tecno poleni sana [emoji3]View attachment 1067610View attachment 1067611View attachment 1067612
Sent using Jamii Forums mobile app
Reason behind this?Halafu hawa Redmi wana disappoint kwenye kitu kimoja,.... Simu ina support quick charge 4.0 lakini wao wanaweka kwenye box charger ya kawaida ya 10W badala 18W yenye uwezo wa kuchaji kwa haraka.
Sorr kuvamia ishu ya jamaa,bBei zinatofautiana kulingana na RAM, ROM, Color, na njia ya usafirishaji utakayotumia kuleta mzigo.
Ndugu kama hapo yangu unaangalia vipi maana sikulijua hiloHalafu hawa Redmi wana disappoint kwenye kitu kimoja,.... Simu ina support quick charge 4.0 lakini wao wanaweka kwenye box charger ya kawaida ya 10W badala 18W yenye uwezo wa kuchaji kwa haraka.
Kupunguza gharama ndio sababu ya msingi.Reason behind this?
Sent using Samsung Galaxy
Ndugu kama hapo yangu unaangalia vipi maana sikulijua hilo View attachment 1071111
Sent using Jamii Forums mobile app
Redmi Note 7 4GB RAM, 64GB ROM, Black |TZS 495,849.42Sorr kuvamia ishu ya jamaa,b
Me too ningependa kujua Bei ya hio lets say yenye ram 4 rom 64 colour black,and same colour ila weka ram 6 na rom ya juu zaid ya 64?
Sent using Brain
Hii inayokuja na simu ni ya kawaida, 5V/2A 10W haicharge kwa haraka.
Wakati simu yako ina support quick charging 9V/2A 18W kwahiyo hii iliyokuja na simu itacharge kwa kiwango cha kawaida si kwa haraka.