General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Kibongo bongo ngumu kuna member humu anaitwa Mwl rct mtafute!Mi nikitaka model moja wapo kwa hapa bongo napata wapi? naomba msaada wenu wadau.
Mkuu mi ninayo hiyo Lenovo vibe P1A42 acha kabisa niliagiza mwaka Jana sitembei na chaji ,kamera na kila kitu kipo vizur, nataka niagize Xiaomi 5s plus Bei gani mkuuKweli mkuu hawa jamaa wako vizuri kwa bidhaa zao zote.
Original Xiaomi Mi5s Plus 4GB RAM 64GB ROM Mi5 S Plus Mobile Phones Snapdragon 821 Quad Core 5.7'' Smartphone 13.0MP Duo Camera Wanauza 750000/=Mkuu mi ninayo hiyo Lenovo vibe P1A42 acha kabisa niliagiza mwaka Jana sitembei na chaji ,kamera na kila kitu kipo vizur, nataka niagize Xiaomi 5s plus Bei gani mkuu
Leo nimetoka post office kuchukua hii Xiaomi Mi Band 2 Wristband Bracelet Smart Heart Rate Monitor Fitness Tracker Touchpad OLED StrapHello wanajukwaa natumia hili pendwa natumaini mu wazima.
Nachukua fursa hii kuomba wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja, utundu na yale yote yaliyomo ndani ya simu hizi na bidhaa zingine za kampuni ya xiaomi.
BINAFSI natumia xiaomi redmi note 4 simu iko vizuri for affordable price.
KARIBUNI
Mkuu hii inaenda kwa ngapi?Xiaomi Mi 5x 4gb Ram, 32gb Rom, hautojutia hela yako abadan.
Humu jf kuna kitu kinaitwa bei rahisi,ila haifahamiki ni shingapi.Mkuu hii inaenda kwa ngapi?
Nafuu ni shingapi??Leo nimetoka post office kuchukua hii Xiaomi Mi Band 2 Wristband Bracelet Smart Heart Rate Monitor Fitness Tracker Touchpad OLED Strap
Aisee nimekuwa addicted na hii brand, bei zao ni nafuu sana.
hyo wristband (xialmi mi band 2) approximately ni kama buk 70 mpka inakufikiaNafuu ni shingapi??
65000/=Nafuu ni shingapi??
Mimi nili order kwenye global shopping festival 11 November 65000/=hyo wristband (xialmi mi band 2) approximately ni kama buk 70 mpka inakufikia
Mkuu xiaomi noma.Xiamo yangu 5s plus haijawahi kustak, kugoma. kamera yake ipo km ilivyo kuja, haisumbui chaji, ina 64GB hard disk, 4RAM
hatar sana
Hii unapata kwa 480000/= hadi unaitia mkononi.... Inakaa na charge halafu camera ni hatarii.Mkuu hii inaenda kwa ngapi?
why ununue hio kwa hio bei badala ya xiaomi redmi note 4?Hii unapata kwa 480000/= hadi unaitia mkononi.... Inakaa na charge halafu camera ni hatarii.
Main Features:
Xiaomi Mi 5X 4G Phablet 5.5 inch MIUI 8 Snapdragon 625 2.0GHz Octa Core 4GB RAM 32GB ROM 3080mAh Battery Dual 12.0MP Zoom Lens Touch Sensor
Display: 5.5 inch, 1920 x 1080 Pixel LTPS FHD screen, 450nit brightness, 403ppi
CPU: Snapdragon 625 2.0GHz Octa Core
System: MIUI 8
RAM + ROM: 4GB RAM + 32GB ROM
Camera: 5.0MP front camera + 12.0MP + 12.0MP back cameras
Respect Chief-Mkwawa Hiyo bei ni kutokana na ubora wa cameras zake ukilinganisha na Xiaomi redmi note 4 lakini pia hizo simu bei inatofautiana kutokana na rangi ya simu, hiyo bei nimechukulia kwa rangi ya rose gold ambayo ndio rangi pendwa. Kwa rangi ya black wanauza 400k. Ahsantewhy ununue hio kwa hio bei badala ya xiaomi redmi note 4?
Nimecheck hii Xiaomi Redmi Note 4X 4G Phablet MIUI 9 5.5 inch Snapdragon 625 Octa Core 2.0GHz Fingerprint Scanner 5.0MP + 13.0MP Cameraswhy ununue hio kwa hio bei badala ya xiaomi redmi note 4?
fair enough mkuu, kwa camera 5x ni nzuri zaidi, ina same sensor kama flagship za mwanzoni wa mwaka huu.Respect Chief-Mkwawa Hiyo bei ni kutokana na ubora wa cameras zake ukilinganisha na Xiaomi redmi note 4 lakini pia hizo simu bei inatofautiana kutokana na rangi ya simu, hiyo bei nimechukulia kwa rangi ya rose gold ambayo ndio rangi pendwa. Kwa rangi ya black wanauza 400k. Ahsante
Zipo waone jumia au kwenye maduka makubwa ZipoMi nikitaka model moja wapo kwa hapa bongo napata wapi? naomba msaada wenu wadau.