Shaffin Simbamwene
JF-Expert Member
- Nov 16, 2008
- 2,156
- 1,535
πππWatu wa tecno tayari wamesharoga maana Xiaomi tumezidi Tambo na familia inazidi kupanuka!!
Kama ni kweli 20% Itakuwa bora uchukue tu pale kwa muhindi kuliko kuisotea kivile
Xiaomi ipo juu!Kati ya Xiomi na LeTV phones ni brand ipi ipo juu?
Du asante kwa kunitoa tongotongoXiaomi ipo juu!
Hii kampuni inayozalisha LeEco LeTV, imefirisika ni muda sasa na hawazalishi tena simu, na ukiinunua fahamu hakuna uhakika wa kupata updates japo zina specs nzuri kiaina.
Xiaomi watoto wa Bengaluru, India. Wanakwambia "gajab ka " yaan "amazing" Ni simu zinazopendwa sana na wahindi, ukitaka kujua hili tembelea haya makampuni ya ujenzi ya wahindi kama Estim, Nandra, Mohamedi Builders, nk utaona simu wanazotumia wale wahindi nyingi MI.
AliExpressJe ni mtandao upi ni bora kununua simu Xiomi kwa maana ya price na shipment?
Aliexpress ndio nafuu zaidi ila baadhi ya matoleo ya nyuma wanakuwa hawana au seller hawaship TZ so inabidi uigie Gearbest au banggood ila bei zao zipo juu kidogo ukilinganisha na aliexpressJe ni mtandao upi ni bora kununua simu Xiomi kwa maana ya price na shipment?
Aliexpress ndio nafuu zaidi ila baadhi ya matoleo ya nyuma wanakuwa hawana au seller hawaship TZ so inabidi uigie Gearbest au banggood ila bei zao zipo juu kidogo ukilinganisha na aliexpress
Hizo simunzinauzwa wapi ? Mbona sijawahi kuziona hapa tz? Nielekeze nitazitafuteHello wanajukwaa natumia hili pendwa natumaini mu wazima.
Nachukua fursa hii kuomba wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja, utundu na yale yote yaliyomo ndani ya simu hizi na bidhaa zingine za kampuni ya xiaomi.
BINAFSI natumia xiaomi redmi note 4 simu iko vizuri for affordable price.
KARIBUNI
Hizo simunzinauzwa wapi ? Mbona sijawahi kuziona hapa tz? Nielekeze nitazitafute
Nahisi kama hujanijibuBidhaa ni moja wafanya biashara tofauti
Bei chini haimaanishi bidhaa ina ubora mdogo
AliExpress kuna ushindani na unakuta kila seller anataka yeye awe kinara na ushawishi mkubwa ni bei na wanauza kweli
Nahisi kama hujanijibu
Inamaana hakuna duka wala mahala zinapopatikana ukiacha hayo mambo ya mtandaoni huko aliexpress?Basi ngoja nondo za wanajamvi wengine
Kwa hapa DAR ES SALAAM nasikia kuna wahindi wapo Upanga FB wana page inaitwa HIGHLIFE nasikia Bei zao ziko juu kidogoInamaana hakuna duka wala mahala zinapopatikana ukiacha hayo mambo ya mtandaoni huko aliexpress?
Bidhaa ni moja wafanya biashara tofauti
Bei chini haimaanishi bidhaa ina ubora mdogo
AliExpress kuna ushindani na unakuta kila seller anataka yeye awe kinara na ushawishi mkubwa ni bei na wanauza kweli
PoaKuna highlife Kwa hapa DAR ES SALAAM nasikia kuna wahindi wapo Upanga FB wana page inaitwa HIGHLIFE nasikia Bei zao ziko juu kidogo
Huko kwengine wapi? Uliwai kuagiza bidhaa online?Mbn hata huko kwingine ishu za ushindani wa biashara upo!!
Wewe haujui Alibaba group ndio bigest online shopping site in world. Wakati AliExpress wana warehouse hadi Europe na America.Nianzie hapa. Kwann Aliexpress bei ziko chini kulinganisha na kwingn. Huon kuna namna hapo kweny items watu wanazonunua kua hazina ubora
Hizi simu hazipo madukani bali ni za kuzisotea online au uzifuate Kenya ambako ipo store ya MI.Inamaana hakuna duka wala mahala zinapopatikana ukiacha hayo mambo ya mtandaoni huko aliexpress?