Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Kati ya Xiomi na LeTV phones ni brand ipi ipo juu?
Xiaomi ipo juu!
Hii kampuni inayozalisha LeEco LeTV, imefirisika ni muda sasa na hawazalishi tena simu, na ukiinunua fahamu hakuna uhakika wa kupata updates japo zina specs nzuri kiaina.
Xiaomi watoto wa Bengaluru, India. Wanakwambia "gajab ka " yaan "amazing" Ni simu zinazopendwa sana na wahindi, ukitaka kujua hili tembelea haya makampuni ya ujenzi ya wahindi kama Estim, Nandra, Mohamedi Builders, nk utaona simu wanazotumia wale wahindi nyingi MI.
 
Du asante kwa kunitoa tongotongo
 
Kodi mm nilivyoagiza simu yenye thamani ya us 99 seller aliandika gharama ni 69 us basi tra wakasema hio sio gharama halisi hivyo niwape simu waangalie bei halisi nikawaambia simu Sina wakadai nikalete simu nikatoka nje nikapiga Screen shot kisha nika edit ile picha ikawa dola 58 basi wakakokotoa nikaenda lipia 27k mara nyingine niliagiza mashine ya kunyolea ya tsh 60k wakanitoza 23k. Ukitumiwa msg imeandikwa RDP lazima utalipia tra
 
Nianzie hapa. Kwann Aliexpress bei ziko chini kulinganisha na kwingn. Huon kuna namna hapo kweny items watu wanazonunua kua hazina ubora
Aliexpress ndio nafuu zaidi ila baadhi ya matoleo ya nyuma wanakuwa hawana au seller hawaship TZ so inabidi uigie Gearbest au banggood ila bei zao zipo juu kidogo ukilinganisha na aliexpress
 
Hello wanajukwaa natumia hili pendwa natumaini mu wazima.

Nachukua fursa hii kuomba wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja, utundu na yale yote yaliyomo ndani ya simu hizi na bidhaa zingine za kampuni ya xiaomi.
BINAFSI natumia xiaomi redmi note 4 simu iko vizuri for affordable price.
KARIBUNI
Hizo simunzinauzwa wapi ? Mbona sijawahi kuziona hapa tz? Nielekeze nitazitafute
 
Bidhaa ni moja wafanya biashara tofauti
Bei chini haimaanishi bidhaa ina ubora mdogo

AliExpress kuna ushindani na unakuta kila seller anataka yeye awe kinara na ushawishi mkubwa ni bei na wanauza kweli
Hizo simunzinauzwa wapi ? Mbona sijawahi kuziona hapa tz? Nielekeze nitazitafute
 
Kuna highlife
Inamaana hakuna duka wala mahala zinapopatikana ukiacha hayo mambo ya mtandaoni huko aliexpress?
Kwa hapa DAR ES SALAAM nasikia kuna wahindi wapo Upanga FB wana page inaitwa HIGHLIFE nasikia Bei zao ziko juu kidogo
 
Nianzie hapa. Kwann Aliexpress bei ziko chini kulinganisha na kwingn. Huon kuna namna hapo kweny items watu wanazonunua kua hazina ubora
Wewe haujui Alibaba group ndio bigest online shopping site in world. Wakati AliExpress wana warehouse hadi Europe na America.
 
Inamaana hakuna duka wala mahala zinapopatikana ukiacha hayo mambo ya mtandaoni huko aliexpress?
Hizi simu hazipo madukani bali ni za kuzisotea online au uzifuate Kenya ambako ipo store ya MI.
Moshi na Arusha Kuna baadhi ya maduka wanaziuza kwa bei iliyochangamka kidogo sababu wanazitoa nchi jirani.
Kwa upande wa Dar wahindi wa high life waliopo pale Mtaa wa Magore Upanga, karibu na Msikiti wa Bohora wanaziuza ila bei yao imechangamka sana maana simu ya laki 5 utauziwa laki 7
 
Back
Top Bottom