Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Mbn hata huko kwingine ishu za ushindani wa biashara upo!!
Ebay baadhi ya seller wanazitoa aliexpress na kupiga cha juu!!!
Vitu vingi vinavyotengenezwa China lazima viuzwe bei himilivu aliexpress ila kwingine bei lazima ichangamke na hali ipo hivyo hivyo kwa eBay au amazon kuuza bei nafuu vitu vinavyotokea ulaya/America
 
Nianzie hapa. Kwann Aliexpress bei ziko chini kulinganisha na kwingn. Huon kuna namna hapo kweny items watu wanazonunua kua hazina ubora

Mkuu Honestty kitu cha kuongezea ni kwamba fahamu hizi bidhaa si tu kila mtu anajiamulia kuziuza tu, la hasha! Hizi store unazoona zinauza bidhaa za Xiaomi AliExpress ni authorised dealers/resellers. Kwahiyo ukinunua pale uhakika wa kupata genuine product ni asilimia mia tofauti na kwingineko.

Kitu kinachopelekea AliExpress kuuza Xiaomi products kwa bei nafuu ni wale resselers wanapewa bei elekezi kutoka kwa manufacturer. Hivyo kupelekea bei ya bidhaa kuwa chini ukilinganisha na wauzaji wengine wanaojipangia wenyewe bei waipendayo.
 
Kodi mm nilivyoagiza simu yenye thamani ya us 99 seller aliandika gharama ni 69 us basi tra wakasema hio sio gharama halisi hivyo niwape simu waangalie bei halisi nikawaambia simu Sina wakadai nikalete simu nikatoka nje nikapiga Screen shot kisha nika edit ile picha ikawa dola 58 basi wakakokotoa nikaenda lipia 27k mara nyingine niliagiza mashine ya kunyolea ya tsh 60k wakanitoza 23k. Ukitumiwa msg imeandikwa RDP lazima utalipia tra
Hiyo picha uli edit vipi hapo kama hujaeleweka vizuri yaani ume edit picha na bei how?
 
Ebay baadhi ya seller wanazitoa aliexpress na kupiga cha juu!!!
Vitu vingi vinavyotengenezwa China lazima viuzwe bei himilivu aliexpress ila kwingine bei lazima ichangamke na hali ipo hivyo hivyo kwa eBay au amazon kuuza bei nafuu vitu vinavyotokea ulaya/America
Kama nimekuelewa Aliexpress wanauza bidhaa za kichina!!
 
Mkuu yan kila nikiona maneno ya hivi ya used au refurb ndy ukakasi unazid kunishika
Hizo Samsung, iPhone, nk. Nyingi ni zile used/refurbished. Yapo baadhi ya makampuni nje ya China wanauza bidhaa AliExpress ila warehouse hazipo China, na hizi bidhaa mara nyingi haziuzwi globally.
 
IMG-20190428-WA0008.jpeg
 
Mm ni miongoni mwa mfatiliaji mzuri sana wa huu uzi,kwa walee wataopenda kuagiza vitu online kwa sasa sio lazima uwe na posta address unatumia address ya posta kuu ya mkoa ulipo na unaweka na namba yako ya simu.mzigo ukifika utatumiwa sms au kupigiwa simu ila hii sio kwa wote kwa hyo ni vema ukawa unatrack mzigo wako mpaka pale utakapofika nchini.mm mzigo ukifika huwa nakaa siku 2 naandika tracking number kwenye karatasi na tarehe mzigo ulipoingia kisha namkabidhi muhusika ofisini,ataangalia km mzigo utawa tayari processed nitapatiwa hapo au ataniambia niende siku flani.
Kwa wakat wa DSM hapo chini nimeweka picha ya address kuu ambayo ni 11000

Pia niambatanisha na screenshot ya baadhi ya mizigo niliyopokea

Kingine kuna hli swala la kodi,kuna siku nilisema huku niliahiza speaker ya anker kwa $64 ila mzigo ulipofika pamoja na kuwaonesha bei halisi ya biadhaa ila nilipigiwa hzo hesabu za kulipa kodi zikafika karibia 73,000 tena unaenda kulipia bank kabisa.kwahyo jamaani mnapoagiza mizigo mikubwa hvyo vitu tarajieni kuvikuta ila kwa simu na computer makato hayazidi hyo 20%.

N.b mm sina posta address na miaka yte ndo njia nayotumia na sijwah kupotelewa na mzigo wwte ule,kwa small package huwa silipii chochote wakati wakuchukua mizgo.
IMG_20190429_003013.jpeg
Screenshot_2019-04-29-00-26-19.jpeg
Screenshot_2019-04-29-00-25-41.jpeg
Screenshot_2019-04-29-00-26-06.jpeg
Screenshot_2019-04-29-00-26-45.jpeg
 
Mkuu njia uliyotumia ww kupokea mzigo ndo hiyo nami nimeitumia now nasubiri mzigo ufike niende posta nikachukue ila mimi post code nimeweka 17000 (Kigamboni)
Ww umeweka post code ya Ilala ambayo ni 11000

ila sijaelewa hiyo 73,000 (40%) ya kodi imepatikana vipi, wakati 20% ya gharama ya 179,000 ni 35,800
Imekuwaje ulipe 73,000 Tzs (40%) badala ya 35,000 TZS (20%)

Asante
Mm ni miongoni mwa mfatiliaji mzuri sana wa huu uzi,kwa walee wataopenda kuagiza vitu online kwa sasa sio lazima uwe na posta address unatumia address ya posta kuu ya mkoa ulipo na unaweka na namba yako ya simu.mzigo ukifika utatumiwa sms au kupigiwa simu ila hii sio kwa wote kwa hyo ni vema ukawa unatrack mzigo wako mpaka pale utakapofika nchini.mm mzigo ukifika huwa nakaa siku 2 naandika tracking number kwenye karatasi na tarehe mzigo ulipoingia kisha namkabidhi muhusika ofisini,ataangalia km mzigo utawa tayari processed nitapatiwa hapo au ataniambia niende siku flani.
Kwa wakat wa DSM hapo chini nimeweka picha ya address kuu ambayo ni 11000

Pia niambatanisha na screenshot ya baadhi ya mizigo niliyopokea

Kingine kuna hli swala la kodi,kuna siku nilisema huku niliahiza speaker ya anker kwa $64 ila mzigo ulipofika pamoja na kuwaonesha bei halisi ya biadhaa ila nilipigiwa hzo hesabu za kulipa kodi zikafika karibia 73,000 tena unaenda kulipia bank kabisa.kwahyo jamaani mnapoagiza mizigo mikubwa hvyo vitu tarajieni kuvikuta ila kwa simu na computer makato hayazidi hyo 20%.

N.b mm sina posta address na miaka yte ndo njia nayotumia na sijwah kupotelewa na mzigo wwte ule,kwa small package huwa silipii chochote wakati wakuchukua mizgo.View attachment 1083645View attachment 1083646View attachment 1083647View attachment 1083648View attachment 1083649
 
Mkuu njia uliyotumia ww kupokea mzigo ndo hiyo nami nimeitumia now nasubiri mzigo ufike niende posta nikachukue ila mimi post code nimeweka 17000 (Kigamboni)
Ww umeweka post code ya Ilala ambayo ni 11000

ila sijaelewa hiyo 73,000 (40%) ya kodi imepatikana vipi, wakati 20% ya gharama ya 179,000 ni 35,800
Imekuwaje ulipe 73,000 Tzs (40%) badala ya 35,000 TZS (20%)

Asante
Hapo ndipo ulipo utata wa watu wa TRA wakati mwingine hawakubaliani na kilichoandikwa kwenye invoice so wanakadiria bei ya bidhaa kivyao
 
Wakati mwingine wanahisi wakitamani mzigo wako wanakukomoa kwa kucalcutate kodi kubwa ili uwasusie mzigo
Lakini nasikia unaweza kata lufaa kama umeona kiwango ulichotajiwa si sawa
Si umeona walivyo mminya jamaa?
Mzigo wa 179,000 wamecharge 73,000 badala ya kiwango halisi ambacho ni 35,800!!
Hapo Inamaanisha kwamba wamekadiria as if mzigo ni wa tsh 365,000
 
Nazid kujipanga taratibu na bajet nimiliki mojawapo ya simu hiz.
1. Ni Xaomi Mi 9
2. Samsung S9 plus
3. Oneplus 6T ya kawaida (au ile Mclaren edition)
4. Google pixel 3xl.
Nimezipanga hapo juu bila kuzingatia kipaumbele zaid ni ipi.
20190429_093550_rmscr-1.jpeg
20190429_092939_rmscr-1.jpeg
20190429_090823_rmscr-1.jpeg
20190429_092555_rmscr-1-1.jpeg
 
Mkuu njia uliyotumia ww kupokea mzigo ndo hiyo nami nimeitumia now nasubiri mzigo ufike niende posta nikachukue ila mimi post code nimeweka 17000 (Kigamboni)
Ww umeweka post code ya Ilala ambayo ni 11000

ila sijaelewa hiyo 73,000 (40%) ya kodi imepatikana vipi, wakati 20% ya gharama ya 179,000 ni 35,800
Imekuwaje ulipe 73,000 Tzs (40%) badala ya 35,000 TZS (20%)

Asante
Mkuu wanavyo calculate kodi ni tofauti na ww unavyofikiria hapo,mm nilikuwa mtata nikaingia hadi ndani kule kupigiana hesabu moja moja na hayo waliyoongeza nikibaki nimepigwa butwaa tu.Ngoja nitapiga ile karatasi picha niwatumie muone mlolongo ulivyo wa hawa jamaa.
 
Duh basi nilizani ni asilimia 20% kumbe sivyo inavyokuwa
Mkuu wanavyo calculate kodi ni tofauti na ww unavyofikiria hapo,mm nilikuwa mtata nikaingia hadi ndani kule kupigiana hesabu moja moja na hayo waliyoongeza nikibaki nimepigwa butwaa tu.Ngoja nitapiga ile karatasi picha niwatumie muone mlolongo ulivyo wa hawa jamaa.
 
Nazid kujipanga taratibu na bajet nimiliki mojawapo ya simu hiz.
1. Ni Xaomi Mi 9
2. Samsung S9 plus
3. Oneplus 6T ya kawaida (au ile Mclaren edition)
4. Google pixel 3xl.
Nimezipanga hapo juu bila kuzingatia kipaumbele zaid ni ipi.View attachment 1083814View attachment 1083815View attachment 1083816View attachment 1083817

Hapo kwa haraka haraka bila ya kupepesa macho chukua Mi 9, sababu ni flagship ya mwaka huu overall ipo vema zaidi katika vitu vingi, kuanzia chipset, camera, built quality, nk. Na Hizo nyingine zote ni flagships za mwaka jana kwahivyo zimepitwa vitu vingi na Mi 9. Kama Xiaomi iweke Mi 8 au Mi Mix 3 ndio level ya hizo nyingine.

Kama unaweza kusubiri kidogo hadi May 14 subiria "real flagships killer" OnePlus 7 Series.

IMG-20190428-WA0010.jpeg
 
Back
Top Bottom