kanyagio
JF-Expert Member
- Dec 10, 2009
- 1,021
- 366
Mimi yangu nimepokea Jana, Redmi note 7 nimeinunua Amazon USD 255 ila ilikuwa delivered marekani na rafiki yangu kaja nayo,Huko kwengine wapi? Uliwai kuagiza bidhaa online?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi yangu nimepokea Jana, Redmi note 7 nimeinunua Amazon USD 255 ila ilikuwa delivered marekani na rafiki yangu kaja nayo,Huko kwengine wapi? Uliwai kuagiza bidhaa online?
Ndugu sio utapeli
Ila ile hali ya kutamani mali uwe ushaikamata lakini ukicheki siku kama hazisogei hilo joto lake si mchezo [emoji3]
Okay, umenunua amazon.com au amazon.in? Je bei ipo sawa kama ukiagiza online store za China?Mimi yangu nimepokea Jana, Redmi note 7 nimeinunua Amazon USD 255 ila ilikuwa delivered marekani na rafiki yangu kaja nayo,
AliExpress zipo nyingi tu!Wakuu,
Wapi nitapata Display ya mi 5s plus?
Kioo kimepasuka
Wahindi wa High Life pale Upanga wanazo ila bei zao si mchezo.Wapi naweza kupata hii simu kwa Dar?
Mkuu mbona umeficha uso afu umesahau kuficha uchi huku chini?Karatasi yao hyo ya kodiView attachment 1084059
Hiyo ni karatasi ya pili ila Kuna nyingine unapewa inakua na hizo hesabu zao za ajabu ajabuMkuu mbona umeficha uso afu umesahau kuficha uchi huku chini?
Turudi kwenye hilo paper Mbona jamaa hawajaonyesha hapo wametumi formula gani kukokotoa hayo madai yao?
Amazon.com Amazon wapo juu kulinganisha na AliExpress: ilibidi ninunue Amazon niipate mapema badala ya kusubiri zaidi ya mweziOkay, umenunua amazon.com au amazon.in? Je bei ipo sawa kama ukiagiza online store za China?
Railway Devolepment-Levy ahahahahaa jamaa wametisha kweli aseee hiyo Railway inakujaje kujaje hapo?Hiyo ni karatasi ya pili ila Kuna nyingine unapewa inakua na hizo hesabu zao za ajabu ajabu
Hata me nilishangaa MkuuRailway Devolepment-Levy ahahahahaa jamaa wametisha kweli aseee hiyo Railway inakujaja kujaje hapo?
Serikali imekopa mabilioni kujenga SGR so pesa zinatafutwa kwa njia yoyote kupunguza machungu ya MkopoHata me nilishangaa Mkuu
Aisee ila wanatuumiza sana ndo maana huwaga nashangaa simu ukienda Kenya unakuta ni Bei rahisi ila ukija Bongo hazishikiki,kumbe ni Kodi kubwa.Serikali imekopa mabilioni kujenga SGR so pesa zinatafutwa kwa njia yoyote kupunguza machungu ya Mkopo
Amazon.com Amazon wapo juu kulinganisha na AliExpress: ilibidi ninunue Amazon niipate mapema badala ya kusubiri zaidi ya mwezi
Naona wamesha fix bugs, maana kuna kipind watu walikuwa wakilalamika chaji inaisha kwa haraka.Toka asubuhi saa 2 hadi sasa charger iko hivi heavy user wa online kulingana na mazingira ya mishe zangu.
View attachment 1084165
Mkuu hivi kuna mbinu gani nifanye kutoa adverts kwenye UI?Endelea ku enjoy mkuu there are so many features...
Hongera Mkuu.Toka asubuhi saa 2 hadi sasa charger iko hivi heavy user wa online kulingana na mazingira ya mishe zangu.
View attachment 1084165
Kero sana. Mkuu hizi za kwenye default apps kama gallery, themes, file manager, etcAds zimewekuwa kero? Au ni zile za kawaida tu za kwenye free apk?