Mr. Mobile
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,439
- 1,633
Nataka kubadirisha simu baada ya kutumia haka ka tecno kangu kwa muda mrefu, nimefuatilia huu uzi kwa muda mrefu na nimeshawishika kumiliki xiaomi ila kwa bajeti yangu ilivyo kaa ndivyo sivyo nimeona kuna simu aina tatu naweza kumiliki ambazo kwa specification naona si mbaya kuna,Redmi 5 plus, redmi 5 pro na Mi A1(5x),sijui ni ipi hapo ambayo nikinunua sitojuta.
Naombeni ushauri
Hizo model unazo tizamia kununua ni kazi kuzipata sokoni kwa sasa. Ebu angalia Redmi 7, Mi A2 Lite, Mi Play. Nadhani hizi utazipata kwa bajeti ya wastani na zipo nyingi sokoni.