Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Mzigo umeingiaaa baada ya week 3 za kusubiri.... hakuna charges za ziada toka Posta.
IMG_20190507_164124.jpeg
 
Wakuu naona TECNO roho zimewauma wakaamua kuninyea nisitoke kundini, sasa nimerudi kwenye TECNO Yangu niloitelekeza kabatini

Redmi note 7 yangu imeingia maji so kwenye kazi zangu ufanisi umepungua sana
sasa nataka niagize redmi yenye waterproof nimeona Redmi note 7 pro ina waterproof! Sijui mnaonaje wazoefu
 
Mzigo ulipofika posta walikutumia msg?

Maana mimi wamenirudisha wanadai watanitumia msg ili nikachukue mzigo wangu utakapofanyiwa kazi, tracking inaonesha mzigo umewasili posta tangu tarehe 2 mwezi huu
(Sina Sanduku la posta)
 
Mzigo ukifika unakuta kikaratazi cha rangi kama ya green hvi kwenye box lako... Unaenda nacho kwa posta master au yule muhudumu wa posta... Unaki sign, tarehe na kuandika jina lako... Kisha yule muhudumu anakuletea mzigo wako.
 
Wakuu naona TECNO roho zimewauma wakaamua kuninyea nisitoke kundini, sasa nimerudi kwenye TECNO Yangu niloitelekeza kabatini

Redmi note 7 yangu imeingia maji so kwenye kazi zangu ufanisi umepungua sana
sasa nataka niagize redmi yenye waterproof nimeona Redmi note 7 pro ina waterproof! Sijui mnaonaje wazoefu
Pole sana mkuu. Redmi 7, Redmi Note 7 Pro. Zote zina P2i Splash-proof inakinga na ajali ndogo ndogo za maji tu! Kama unaona shughuli zako nyingi ni maeneo ya kwenye maji nina recommend utafute simu yenye IP certified water-proof.
 
Wakuu naona TECNO roho zimewauma wakaamua kuninyea nisitoke kundini, sasa nimerudi kwenye TECNO Yangu niloitelekeza kabatini

Redmi note 7 yangu imeingia maji so kwenye kazi zangu ufanisi umepungua sana
sasa nataka niagize redmi yenye waterproof nimeona Redmi note 7 pro ina waterproof! Sijui mnaonaje wazoefu
Izime hiyo simu kama unaweza kuifungu(disassembly) Fanya hivyo then tafuta chombo chenye mfuniko jaza mchechele kama nusu kilo hivi uizike hiyo simu yako alafu funga mfuniko uweke sehemu salama.
Baada ya siku 3 ifukue na kuiunganisha itapiga mzigo poa.
 
Mzigo ukifika unakuta kikaratazi cha rangi kama ya green hvi kwenye box lako... Unaenda nacho kwa posta master au yule muhudumu wa posta... Unaki sign, tarehe na kuandika jina lako... Kisha yule muhudumu anakuletea mzigo wako.
Zamani walikuwa wanatumia hizo ila siku hizi wanaumia za kuprint isipokuwa baadhi ya mikoa
1090861

1090863
 
Asante kwa ushauri ndugu
Niliifukia kwa siku moja bila kuitenguatengua kama unavyonishauri

Baadae Niliipeleka kwa fundi mnazi mmoja ndo muafaka wake hivyo ndugu network iko chini mno na mic imekufa
Izime hiyo simu kama unaweza kuifungu(disassembly) Fanya hivyo then tafuta chombo chenye mfuniko jaza mchechele kama nusu kilo hivi uizike hiyo simu yako alafu funga mfuniko uweke sehemu salama.
Baada ya siku 3 ifukue na kuiunganisha itapiga mzigo poa.
 
Niliipeleka kwa fundi mnazi mmoja ndo muafaka wake ndo hivyo ndugu network iko chini mno na mic imekufa
Ungeifanyia Huduma ya kwanza ya hapo juu pengine ungekuwa poa zaidi tena bila gharama.
Nilishafufua redmi 5a ambayo mtoto aliizamisha kwenye ndoo ya maji nusu saa nzima,
Michele ulifanya mambo kitu kikanyooka bila ya shida.
 
Uliitengua tengua mwenyewe ndugu na kuifukia?
Ungeifanyia Huduma ya kwanza ya hapo juu pengine ungekuwa poa zaidi tena bila gharama.
Nilishafufua redmi 5a ambayo mtoto aliizamisha wenye ndoo ya maji nusu saa nzima,

Back
Top Bottom