India wanachonikera wana Matangazo kama yote hasa kwenye App ya Music asee hadi kero.Ukiweka Tanzania utasubiria sana Mm naweka India so update mara nyingi napokea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
India wanachonikera wana Matangazo kama yote hasa kwenye App ya Music asee hadi kero.Ukiweka Tanzania utasubiria sana Mm naweka India so update mara nyingi napokea
Mzigo umeingiaaa baada ya week 3 za kusubiri.... hakuna charges za ziada toka Posta.View attachment 1090742
Hii ni redmi note..[emoji849]Kuna mtu kapokea hii updates kwa wale waloweka Region Tanzania maana mimi nimeweka Hong kong
View attachment 1090107
NdioMkuu una sanduku la posta?
Mzigo ulipofika posta walikutumia msg?Ndio
Mzigo ukifika unakuta kikaratazi cha rangi kama ya green hvi kwenye box lako... Unaenda nacho kwa posta master au yule muhudumu wa posta... Unaki sign, tarehe na kuandika jina lako... Kisha yule muhudumu anakuletea mzigo wako.Mzigo ulipofika posta walikutumia msg?
Maana mimi wamenirudisha wanadai watanitumia msg ili nikachukue mzigo wangu utakapofanyiwa kazi, tracking inaonesha mzigo umewasili posta tangu tarehe 2 mwezi huu
(Sina Sanduku la posta)
Pole sana mkuu. Redmi 7, Redmi Note 7 Pro. Zote zina P2i Splash-proof inakinga na ajali ndogo ndogo za maji tu! Kama unaona shughuli zako nyingi ni maeneo ya kwenye maji nina recommend utafute simu yenye IP certified water-proof.Wakuu naona TECNO roho zimewauma wakaamua kuninyea nisitoke kundini, sasa nimerudi kwenye TECNO Yangu niloitelekeza kabatini
Redmi note 7 yangu imeingia maji so kwenye kazi zangu ufanisi umepungua sana
sasa nataka niagize redmi yenye waterproof nimeona Redmi note 7 pro ina waterproof! Sijui mnaonaje wazoefu
Izime hiyo simu kama unaweza kuifungu(disassembly) Fanya hivyo then tafuta chombo chenye mfuniko jaza mchechele kama nusu kilo hivi uizike hiyo simu yako alafu funga mfuniko uweke sehemu salama.Wakuu naona TECNO roho zimewauma wakaamua kuninyea nisitoke kundini, sasa nimerudi kwenye TECNO Yangu niloitelekeza kabatini
Redmi note 7 yangu imeingia maji so kwenye kazi zangu ufanisi umepungua sana
sasa nataka niagize redmi yenye waterproof nimeona Redmi note 7 pro ina waterproof! Sijui mnaonaje wazoefu
Zamani walikuwa wanatumia hizo ila siku hizi wanaumia za kuprint isipokuwa baadhi ya mikoaMzigo ukifika unakuta kikaratazi cha rangi kama ya green hvi kwenye box lako... Unaenda nacho kwa posta master au yule muhudumu wa posta... Unaki sign, tarehe na kuandika jina lako... Kisha yule muhudumu anakuletea mzigo wako.
Izime hiyo simu kama unaweza kuifungu(disassembly) Fanya hivyo then tafuta chombo chenye mfuniko jaza mchechele kama nusu kilo hivi uizike hiyo simu yako alafu funga mfuniko uweke sehemu salama.
Baada ya siku 3 ifukue na kuiunganisha itapiga mzigo poa.
Umenunua bei ganiKama nilivyoahidi nimeleta tena update.
Nimepokea Redmi note 6 pro na redmi note 7 hakuna kodi niliyo Lipa TRA zaidi ya ushuru wa stamp pale posta
View attachment 1089498
View attachment 1089499
View attachment 1089500
View attachment 1089502
Ungeifanyia Huduma ya kwanza ya hapo juu pengine ungekuwa poa zaidi tena bila gharama.Niliipeleka kwa fundi mnazi mmoja ndo muafaka wake ndo hivyo ndugu network iko chini mno na mic imekufa
Ipi?Umenunua bei gani
Ungeifanyia Huduma ya kwanza ya hapo juu pengine ungekuwa poa zaidi tena bila gharama.
Nilishafufua redmi 5a ambayo mtoto aliizamisha wenye ndoo ya maji nusu saa nzima,
Michele ulifanya mambo kitu kikanyooka bila ya shida.
NdioUliitengua tengua mwenyewe ndugu na kuifukia?
Ndio
Ahaaa kusubiria 72 hrs kunawashinda wengi kutokana na mshawasha.Dah [emoji24] mi nilivyoifukia siku moja nikaona imeshindikana
Nikahisi kwa fundi ndo msaada
MIUI 10 Ilishaanza kuninogea