BANGO JEUPE
JF-Expert Member
- Nov 21, 2015
- 3,079
- 2,152
Wakuu mzigo (phone case) tayari nimeupokea posta, bila kuwa na sanduku niliandika namba ya simu tu na nikaudirect posta
Sijalipa chochote
Sijalipa chochote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ebu tuma hiyo case picha yake kuna mtu ana note 7 tunaweza fanya kitu kufa kufaana.Nimetumiwa msg na posta nikachukuwe case yangu ya redmi note 7
Ila redmi yenyewe niliiyoiagizia case imekutwa na majanga [emoji28] so naenda kukaa na kava ndani
Ila nimeona HIGHLIFE wanauza Bei nzuri tu tatizo hawana hitaji langu
wanayo NOTE 7 4gb/64 kwa laki 6 TZS
Mimi nilihitaji REDMI NOTE 7 PRO 6GB/128GB, so najipanga niagize nyingine
Je hilo case ni la Nillkin tukurudishie hela yako?Wakuu mzigo (phone case) tayari nimeupokea posta, bila kuwa na sanduku niliandika namba ya simu tu na nikaudirect posta
Sijalipa chochote View attachment 1092581
Kweli mkuu!!!Ndugu zangu tutamaliza pesa kwa manunuzi ya simu maanw kila kukicha wanaleta vitu vipya na kututeka sisi ,tubadilike kaa na simu mpk ife ndo ujikwamue upya
Hali ya maisha tu ni ngumu tusitumie nguvu nyingi kununuw simu ,Kweli mkuu!!!
Mimi hapa 3 yrs nimekomaa na op2!!
xiaomi huwa nawachukulia wadau tu
Kuna "simu roho ya paka" haifi, hapa unashauri nini?Ndugu zangu tutamaliza pesa kwa manunuzi ya simu maanw kila kukicha wanaleta vitu vipya na kututeka sisi ,tubadilike kaa na simu mpk ife ndo ujikwamue upya
Ni CENIMASOJe hilo case ni la Nillkin tukurudishie hela yako?
Mkuu mbona kwangu bado?Porojo tu! Kwenye upande wa updates huwa wanatoa kwa region zote, sema kuna baadhi ya features ndio zinakuwa kwenye baadhi ya region pekee. Mie leo nimepata hii update
Tunatofautiana vipato kaka! Acha tu wenye pesa wafanye yao! "Kila mtu ana haki ya kutumia pesa yake kwa wakati wake".Hali ya maisha tu ni ngumu tusitumie nguvu nyingi kununuw simu ,
Mkuu unakomaa nayo kikubwa ikidhi mahitajiKuna "simu roho ya paka" haifi, hapa unashauri nini?
Mkuu nimegundua kuipeleka kwa fundi ndo sababu ya simu yangu kupungua uwezoKweli mkuu!!!
Mimi hapa 3 yrs nimekomaa na op2!!
xiaomi huwa nawachukulia wadau tu
Sikatai kutumia pesa sema pesa ina tabia yake ,na heshima yake ,sikatai mtu asinunue chenye ubora ,wazo langu ni kwamba usione kila toleo ukaona niliyonayo haifai ,kuna ule msemo chakale ni dhahabu hivyo kitunze tu .Tunatofautiana vipato kaka! Acha tu wenye pesa wafanye yao! "Kila mtu ana haki ya kutumia pesa yake kwa wakati wake".
Tunatofautiana vipato kaka! Acha tu wenye pesa wafanye yao! "Kila mtu ana haki ya kutumia pesa yake kwa wakati wake".
Inafika mahala sasa simu haipokei updates, na kila siku makampuni yanaendelea kubuni vitu vipya. Niliwai kusoma article moja kuhusu ni muda gani sahihi wa kukaa na simu kabla ya kubadili, wakasema isizidi miaka mitatu.Mkuu unakomaa nayo kikubwa ikidhi mahitaji
Wengine humu naamini wafanya biashara Mkuu aidha wanawaagizia watu au wanauza bila shaka.Ndugu zangu tutamaliza pesa kwa manunuzi ya simu maanw kila kukicha wanaleta vitu vipya na kututeka sisi ,tubadilike kaa na simu mpk ife ndo ujikwamue upya
Sikatai kutumia pesa sema pess ina tabia yake ,na heshima yake ,sikatao mtu asinunue chenye ubora ,wazo langu ni kwamba usione kila toleo ukaona niliyonayo haifai ,kuna ule msemo chakale ni dhahabu hivyo kitunze tu .
Kuhusu hilo sikatai ikitokea basi huna budi kuingia gharama nyingine.Hapo nakuunga mkono kwa asilimia nyingi. Hata mie kuna simu zangu za kale zipo hapa,... Ila ndio hivyo mimi mara nyingi nikitaka ku upgrade simu huwa nauza au exchange, ilimradi tu nisipate hasara. Issue inakuja pale ambapo simu yako pendwa imepata ajali, inabidi ununue simu nyingine ku replace iliyoharibika.
Exactly! "Kwenye msafara wa mamba na kenge wamo!".Wengine humu naamini wafanya biashara Mkuu aidha wanawaagizia watu au wanauza bila shaka.
LOL! Sasa mfano nina Samsung Galaxy Note 4 ya mwaka 2014 nimeangusha display imekufa na nimekaa nayo kwa miaka miwili na nusu,... Ku replace original Super AMOLED screen ni 250k,.. na hii 250k ndio bei ya Note 4 kwa sasa. Sasa kipi bora? Kati ya kununua simu mpya au kubadili screen panel kwa bei ya simu mpya!?Kuhusu hilo sikatai ikotokea basi huna budi kuingia gharama nyingi.