Mkuu bei yake imekaa vipi hio mi 9 se yenye storage ya 64 na 4gb.
Bora uchukue hii tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu bei yake imekaa vipi hio mi 9 se yenye storage ya 64 na 4gb.
Mi 9 SE, RAM inaanzia 6GB.Mkuu bei yake imekaa vipi hio mi 9 se yenye storage ya 64 na 4gb.
Nimemtumia hiyo naona 677k au hizi ni tofauti mkuu?Mi 9 SE, RAM inaanzia 6GB.
Global Version Mi 9 SE Snapdragon 712 6GB 64GB 5.97" AMOLED FHD+ Screen Smartphone 48MP Triple Cameras NFC OTA.
Ukiagiza mwenyewe itakugharimu TZS 763,304.55
NB: Rates na makato zinatofautiana kulingana na njia utakayotumia kufanya malipo.
Nionavyo ni aina moja Sema ni mambo ya biashara tu seller kaweka bidhaa moja bei tufauti.Nimemtumia hiyo naona 677k au hizi ni tofauti mkuu?
Hahah hii kwanini hiviNionavyo ni aina moja Sema ni mambo ya biashara tu seller kaweka bidhaa moja bei tufauti.
Hata mimi huwa sielewi ila huwa inatokea sana kwa sellersHahah hii kwanini hivi
View attachment 1093432
Mkuu kumbe refund zinaingia fresh bila hata kuwapigia au kusumbuana na Customers service asee!!
Leo Nimecheck salio la card nikagundua mpunga umeongezeka nikasema ngoja nisake statement nikaipata yaani kitu kumbe kiko fresh hiki.
Ukiona kimya ujue suala Lako liko processed refund zitaingia tu.
Kingine nilichogundua ni kwamba hii Huduma ya mpesa virtual card siyo bure bali kila transaction ufanyayo online wanachota kiasi fulani
View attachment 1093433
👆👆👆👆Hapo nilipozungushia red rectangular ndio refund zenyewe na screenshot za chini ndio disputes zilizo refundable 👇👇👇👇
View attachment 1093471
Ili expire ndio shida tatizo mkuu huna access ya kutoa pesa Ila Kama iko active inaingia Tu na ujumbe wanatuma vodacom
Hiyo ni "Global ROM" Ni Chinese version wakatoa ROM ya kichina na kuweka ya global.Nimemtumia hiyo naona 677k au hizi ni tofauti mkuu?
Ni aina moja but ni matoleo mawili tofauti,... Moja ni Global version na nyingine ni CN version. Hii ni CN version lakini muuzaji ameweka Official Global ROM.Nionavyo ni aina moja Sema ni mambo ya biashara tu seller kaweka bidhaa moja bei tufauti.
Chinese version si inasifika na baadhi ya wadau humu kuwa na miundombinu bora (hardware) Mbona inauzwa bei chini ya Global?Hiyo ni "Global ROM" Ni Chinese version wakatoa ROM ya kichina na kuweka ya global.
Upo vzr mkuuWahindi wa High Life pale Upanga wanazo ila bei zao si mchezo.
*XIAOMI WHOLESALE*
*REDMI S2 4+64GB*
BLUE GREY PINK
Tsh 550,000
*REDMI 6A 2+16GB*
BLACK BLUE GOLD
Tsh 390,000
*REDMI 6A 2+32GB*
BLACK GOLD BLUE
Tsh 420,000
*REDMI 6 3+64GB*
BLACK BLUE
Tsh 500,000
*REDMI NOTE 5 3+32GB*
BLACK GOLD BLUE
Tsh 610,000
*REDMI NOTE 5 Pro 6+128GB*
BLACK GOLD
Tsh 770,000
*NOTE 6 PRO 3+32GB*
BLACK PINK BLUE
Tsh 580,000
*NOTE 6 PRO 4+64GB*
BLUE BLACK PINK
Tsh 660,000
*Mi A2 4+32GB*
BLACK GOLD BLUE
Tsh 640,000
*Mi A2 4+64GB*
PINK BLACK GOLD BLUE
Tsh 660,000
*Mi 6X 6+64GB*
BLUE GOLD RED
Tsh 720,000
*Mi A2 6+128GB*
BLACK GOLD BLUE
Tsh 830,000
*Mi 8 SE 6+128GB*
BLACK GOLD BLUE RED
Tsh 940,000
*Mi 8 6+64GB*
BLACK GOLD BLUE WHITE
Tsh 1,060,000
*Mi 8 6+128GB*
BLACK GOLD BLUE WHITE
Tsh 1,130,000
*Mi 8 Lite 4+64GB*
BLACK GOLD BLUE
Tsh 690,000
*Mi 8 Lite 6+128GB*
BLACK GOLD BLUE
Tsh 860,000
*Mi MAX 3 4+64GB*
BLACK GOLD PINK
Tsh 760,000
*Mi MAX 3 6+128GB*
BLACK GOLD
Tsh 900,000
*Mi MIX 2S 6+64GB*
WHITE BLACK
Tsh 1,110,000
*Mi MIX 2S 6+128GB*
BLACK WHITE
Tsh 1,220,000
*Mi Pocofone F1 6+64GB*
BLACK BLUE RED
Tsh 940,000
*Mi Pocofone F1 6+128GB*
BLACK BLUE RED
Tsh 1,050,000
*MI MIX 3 6+128GB*
BLACK
Tsh 1.4 million
🙄🙄🙄Ili e
Ukiongeza 50 unapata xiaomi mi 9se kali sana highendWakuu huu uzi ni babukubwa nimezielewa sana hizi simu za xiaomi sasa na kama 650000 yangu sasa nichukue brand gani wakuu ambayo itakuwa poa
Unataka ya kuisotea au ya papo hapo?Wakuu huu uzi ni babukubwa nimezielewa sana hizi simu za xiaomi sasa na kama 650000 yangu sasa nichukue brand gani wakuu ambayo itakuwa poa
Sahihi ila hatujajua kama jamaa ataisotea au laah...!!!Ukiongeza 50 unapata xiaomi mi 9se kali sana highend
Mkuu mi siko deep ila kuna mdau wangu Mr. Mobile alinishauri nijiongeze nichukue mnyama huyuWakuu huu uzi ni babukubwa nimezielewa sana hizi simu za xiaomi sasa na kama 650000 yangu sasa nichukue brand gani wakuu ambayo itakuwa poa
Mi 9 SE zipo nyingi kwenye stock, huyu Fantacy juzi aliweka tangazo ana ship ndani ya masaa 24.Sahihi ila hatujajua kama jamaa ataisotea au laah...!!!
Kama anataka nipe nikupe kule kwa wahindi hiyo watapiga million hivi
Wahindi wa High Life pale Upanga wanazo ila bei zao si mchezo.
*XIAOMI WHOLESALE*
[*REDMI S2 4+64GB*
BLUE GREY PINK
Tsh 550,000
Hilo halina shida nilikuwa namaanisha zile wiki 2-4 za kusubiria mzigo ufike destination country maana ujue siyo wote wenye uvumilivu wa kihivyo!!!Mi 9 SE zipo nyingi kwenye stock, huyu Fantacy juzi aliweka tangazo ana ship ndani ya masaa 24.