Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Karatasi yao hyo ya kodi
IMG_20190429_175906.jpeg
 
Wapi naweza kupata hii simu kwa Dar?
Wahindi wa High Life pale Upanga wanazo ila bei zao si mchezo.

*XIAOMI WHOLESALE*

*REDMI S2 4+64GB*
BLUE GREY PINK
Tsh 550,000

*REDMI 6A 2+16GB*
BLACK BLUE GOLD
Tsh 390,000

*REDMI 6A 2+32GB*
BLACK GOLD BLUE
Tsh 420,000

*REDMI 6 3+64GB*
BLACK BLUE
Tsh 500,000

*REDMI NOTE 5 3+32GB*
BLACK GOLD BLUE
Tsh 610,000

*REDMI NOTE 5 Pro 6+128GB*
BLACK GOLD
Tsh 770,000

*NOTE 6 PRO 3+32GB*
BLACK PINK BLUE
Tsh 580,000

*NOTE 6 PRO 4+64GB*
BLUE BLACK PINK
Tsh 660,000

*Mi A2 4+32GB*
BLACK GOLD BLUE
Tsh 640,000

*Mi A2 4+64GB*
PINK BLACK GOLD BLUE
Tsh 660,000

*Mi 6X 6+64GB*
BLUE GOLD RED
Tsh 720,000

*Mi A2 6+128GB*
BLACK GOLD BLUE
Tsh 830,000

*Mi 8 SE 6+128GB*
BLACK GOLD BLUE RED
Tsh 940,000

*Mi 8 6+64GB*
BLACK GOLD BLUE WHITE
Tsh 1,060,000

*Mi 8 6+128GB*
BLACK GOLD BLUE WHITE
Tsh 1,130,000

*Mi 8 Lite 4+64GB*
BLACK GOLD BLUE
Tsh 690,000

*Mi 8 Lite 6+128GB*
BLACK GOLD BLUE
Tsh 860,000

*Mi MAX 3 4+64GB*
BLACK GOLD PINK
Tsh 760,000

*Mi MAX 3 6+128GB*
BLACK GOLD
Tsh 900,000

*Mi MIX 2S 6+64GB*
WHITE BLACK
Tsh 1,110,000

*Mi MIX 2S 6+128GB*
BLACK WHITE
Tsh 1,220,000

*Mi Pocofone F1 6+64GB*
BLACK BLUE RED
Tsh 940,000

*Mi Pocofone F1 6+128GB*
BLACK BLUE RED
Tsh 1,050,000


*MI MIX 3 6+128GB*
BLACK
Tsh 1.4 million
 
Mkuu mbona umeficha uso afu umesahau kuficha uchi huku chini?
Turudi kwenye hilo paper Mbona jamaa hawajaonyesha hapo wametumi formula gani kukokotoa hayo madai yao?
Hiyo ni karatasi ya pili ila Kuna nyingine unapewa inakua na hizo hesabu zao za ajabu ajabu
 
Okay, umenunua amazon.com au amazon.in? Je bei ipo sawa kama ukiagiza online store za China?
Amazon.com Amazon wapo juu kulinganisha na AliExpress: ilibidi ninunue Amazon niipate mapema badala ya kusubiri zaidi ya mwezi
 
Nataka kubadirisha simu baada ya kutumia haka ka tecno kangu kwa muda mrefu, nimefuatilia huu uzi kwa muda mrefu na nimeshawishika kumiliki xiaomi ila kwa bajeti yangu ilivyo kaa ndivyo sivyo nimeona kuna simu aina tatu naweza kumiliki ambazo kwa specification naona si mbaya kuna,Redmi 5 plus, redmi 5 pro na Mi A1(5x),sijui ni ipi hapo ambayo nikinunua sitojuta.

Naombeni ushauri
 
Back
Top Bottom