Ndio boss redmi note 6 proHii ni redmi note..[emoji849]
Ujue ni fani za watu hizo so siyo kila mtu anaweza ku-disassembly usije ukawaponza wakavunja display zao bure!!Izime hiyo simu kama unaweza kuifungu(disassembly) Fanya hivyo then tafuta chombo chenye mfuniko jaza mchechele kama nusu kilo hivi uizike hiyo simu yako alafu funga mfuniko uweke sehemu salama.
Baada ya siku 3 ifukue na kuiunganisha itapiga mzigo poa.
Kweli mkuu. Si kazi rahisi kama hauna idea na phone repair. Ila ni muhimu kujifunza.Ujue ni fani za watu hizo so siyo kila mtu anaweza kudisasembly usije ukawaponza wakavuja display zao bure!!
Redmi note 7Ipi?
Porojo tu! Kwenye upande wa updates huwa wanatoa kwa region zote, sema kuna baadhi ya features ndio zinakuwa kwenye baadhi ya region pekee. Mie leo nimepata hii updateUkiweka Tanzania utasubiria sana Mm naweka India so update mara nyingi napokea
Global Verison Xiaomi Redmi Note 7 4GB 64GB Snapdragon 660 AIE 6.3'' Water Drop FHD+ Mobile Phone QC 4.0 4000mAh 48MP CamerasRedmi note 7
Pia cheki Xiaomi Mi 9 SE ndio mpinzani mkubwa wa Samsung Galaxy A50.Wakuu kati ya XIAOMI POCOPHONE FI na SAMSUNG GALAXY A50, Mnashauri nichukue kifaa gani kati ya hivi?
Wadau mnaotumia mpesa mastercard naomba mwongozo kujua kuhusu refund katika hiyo Huduma maana nimeopen dispute na aliexpress wamenirefund ila sioni dalili ya hela kuingia kwenye card
Card yangu bancabc ili expire nikacreate mpesa mastercard kwa muda tu.Wasiliana na Vodacom huduma kwa wateja watakupa msaaada wa kukurudishia pesa yako. Ila mie nina recommend kama kweli ww ni mtu addicted na online purchase bora tu utumie card ya bank kwenye kufanya manunuzi, kuliko hii virtual card ya M-Pesa.
Mkuu kama unahitaji pesa yako wapigie tu customer service. Hata kadi za benki ni chache tu zinazopokea refund direct. Kumbuka M-Pesa MasterCard hairuhusu malipo ambayo hayajathibitishwa kuingia kwenye akaunti yako M-Pesa. Huyu jamaa anaweza akakuelewesha.Card yangu bancabc ili expire nikacreate mpesa mastercard kwa muda tu.
Refund inatakiwa iingie kwenye card directly hayo mambo ya kupiga simu Huduma kwa wateja sio kabisa
Hayo sasa majanga Mkuu!!!Wasiliana na Vodacom huduma kwa wateja watakupa msaaada wa kukurudishia pesa yako. Ila mie nina recommend kama kweli ww ni mtu addicted na online purchase bora tu utumie card ya bank kwenye kufanya manunuzi, kuliko hii virtual card ya M-Pesa.
Mkuu mbona siku hizi mambo rahisi sana ni vile mwenyewe tu unatakiwa kujishughulisha kuwasiliana na huduma kwa wateja, tena unaweza kuwasiliana nao kwa karibia mitandao yote ya kijamii ikiwemo; Facebook, Twitter, Instagram na pia wana email yao:Hayo sasa majanga Mkuu!!!
Sisi wengine tusiosikia tunafanyaje sasa kupata hela zetu wakati hatuwezi kutumia hiyo njia ya kuwapigia Huduma kwa wateja?
Kifupi naona kama walikurupuka tu kuzileta hizo Huduma pasipo kufanya maandalizi ya kutosha.
Ready.Mkuu mbona siku hizi mambo rahisi sana ni vile mwenyewe tu unatakiwa kujishughulisha kuwasiliana na huduma kwa wateja, tena unaweza kuwasiliana nao kwa karibia mitandao yote ya kijamii ikiwemo; Facebook, Twitter, Instagram na pia wana email yao:
customercare@vodacom.co.tz
Mimi kwa upande wangu nikiwa na shida kama hizo huwa nawapigia kwa number 100 au nina waandikia DM au INBOX na wana solve tatizo kwa muda mfupi.
The future is exciting. Ready?
Unamaanisha kwamba mzigo umepotea?Nimetumiwa msg na posta nikachukuwe case yangu ya redmi note 7
Ila redmi yenyewe niliiyoiagizia case imekutwa na majanga [emoji28] so naenda kukaa na kava ndani
Ila nimeona HIGHLIFE wanauza Bei nzuri tu tatizo hawana hitaji langu
wanayo NOTE 7 4gb/64 kwa laki 6 TZS
Mimi nilihitaji REDMI NOTE 7 PRO 6GB/128GB, so najipanga niagize nyingine
Nimetumiwa msg na posta nikachukuwe case yangu ya redmi note 7
Ila redmi yenyewe niliiyoiagizia case imekutwa na majanga [emoji28] so naenda kukaa na kava ndani
Ila nimeona HIGHLIFE wanauza Bei nzuri tu tatizo hawana hitaji langu
wanayo NOTE 7 4gb/64 kwa laki 6 TZS
Mimi nilihitaji REDMI NOTE 7 PRO 6GB/128GB, so najipanga niagize nyingine
Mkuu huwa unanishauri vitu vya maana sana, ndo maana kabla ya maamuzi lazima nije hapaView attachment 1092550View attachment 1092551View attachment 1092552
Hamia Mi Series mkuu, chukua Mi 9 SE nadhani imeipita vingi sana Redmi Note 7 Pro. Hii kwenye kamera ni nzuri sana halafu hata screen yake sio kubwa sana hivyo inashikika mkononi kwa urahisi kabisa, screen yake ni Super AMOLED, si hivyo tu, lakini pia ni imara sana, price yake si kubwa kivile.
Unamaanisha kwamba mzigo umepotea?