Itumie all the time ,nakaa nafikiria hizi pesa tunazonunulia simu !! Tukumbuke ipo siku tutaziacha simu zetu pendwa na kwenda nchi za mbali yaani ardhini ,Tukumbuke kutenda mema ndo fadhila zetu , Hizi pesa tunazomwaga kununua kila aina ya simu tungewasaidia wasiojiweza zisingetusaidia kama amali huko Tuendako??? WEMA NI AKIBA LAKINI SIMU HATA UITUMIE VIPI HAINA WEMA MBINGUNI.[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]Kuna "simu roho ya paka" haifi, hapa unashauri nini?
MKUU HUJANILEEWA VZR , MAANA YANGU UKIWA NA SIMU INAYOKIDHI USITUMIE PESA KUNUNUA SIMU NYINGINE , KISA ETY UNAHAMIA KWENYE VERSION ZA KISASA..LOL! Sasa mfano nina Samsung Galaxy Note 4 ya mwaka 2014 nimeangusha display imekufa na nimekaa nayo kwa miaka miwili na nusu,... Ku replace original Super AMOLED screen ni 250k,.. na hii 250k ndio bei ya Note 4 kwa sasa. Sasa kipi bora? Kati ya kununua simu mpya au kubadili screen panel kwa bei ya simu mpya!?
Kifo ni lazima mkuu! Kikubwa tuishi katika maisha ya kumpendeza Muumba. Ni kweli simu tutaziacha, hatuzikwi nazo. Ila kifo kisikuzuie kutimiza ndoto zako na wewe fanya yote utakayoyaona ni mazuri ilimradi usikufuru tu! Wote tungekuwa na mawazo kama yako tusingefanya shughuli zozote za maendeleo kuogopa kifo!Itumie all the time ,nakaa nafikiria hizi pesa tunazonunulia simu !! Tukumbuke ipo siku tutaziacha simu zetu pendwa na kwenda nchi za mbali yaani ardhini ,Tukumbuke kutenda mema ndo fadhila zetu , Hizi pesa tunazomwaga kununua kila aina ya simu tungewasaidia wasiojiweza zisingetusaidia kama amali huko Tuendako??? WEMA NI AKIBA LAKINI SIMU HATA UITUMIE VIPI HAINA WEMA MBINGUNI.[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
Hapo Sawaa!MKUU HUJANILEEWA VZR , MAANA YANGU UKIWA NA SIMU INAYOKIDHI USITUMIE PESA KUNUNUA SIMU NYINGINE , KISA ETY UNAHAMIA KWENYE VERSION ZA KISASA..
[emoji3][emoji3][emoji3]@Mr.Mobile daaah nimekusalute sana bigup kwa maoni yako mazuri ..Kifo ni lazima mkuu! Kikubwa tuishi katika maisha ya kumpendeza Muumba. Ni kweli simu tatuziacha, hatuzikwi nazo. Ila kifo kisikuzie kutimiza ndoto zako na wewe fanya yote utakayoyaona ni mazuri ilimradi usikufuru tu! Wote tungekuwa na mawazo kama yako tusingefanya shughuli zozote za maendeleo kuogopa kifo!
Mfano: Eti usioe mke mzuri eti ukifa utamuacha, sasa watu tusioe wake wazuri!?[emoji4] .
Kikubwa ya Dunia yabaki kuwa Dunia na ya Mungu yabaki kuwa ya Mungu.
Sawa mkuu ila Samsung Galaxy A50 ina nini hasa cha tofauti, watu wengi wanarate 50/50 kama midrange, Na nikiangalia huu uzi naona positive reviews kuhusu XiaomiPia cheki Xiaomi Mi 9 SE ndio mpinzani mkubwa wa Samsung Galaxy A50.
Sawa mkuu ila Samsung Galaxy A50 ina nini hasa cha tofauti, watu wengi wanarate 50/50 kama midrange, Na nikiangalia huu uzi naona positive reviews kuhusu Xiaomi
oi braza em tuelekeze unawezaje kutuma kitu bila sanduku la postaWakuu mzigo (phone case) tayari nimeupokea posta, bila kuwa na sanduku niliandika namba ya simu tu na nikaudirect posta
Sijalipa chochote View attachment 1092581
Kila simu inapata updates kwa wakati wake mkuu.Mkuu mbona kwangu bado?View attachment 1092646
Mkuu ni vilevile tu kama unavyonunua ukiwa na sanduku ila pale kwenye address nimeandika namba zangu za simu badala ya sanduku la posta maadam ni standard shipping basi utaudirect Mzigo wako ufike postaoi braza em tuelekeze unawezaje kutuma kitu bila sanduku la posta
Mizigo ya tarehe 2 ilikua haijafanyiwa kazi,wameanza kuitoa Jana (tarehe 9),nadhani ukienda kuanzia leo utaukuta tayari.Mzigo ulipofika posta walikutumia msg?
Maana mimi wamenirudisha wanadai watanitumia msg ili nikachukue mzigo wangu utakapofanyiwa kazi, tracking inaonesha mzigo umewasili posta tangu tarehe 2 mwezi huu
(Sina Sanduku la posta)
Mkuu nami nilichukua jana mzigo wanguMizigo ya tarehe 2 ilikua haijafanyiwa kazi,wameanza kuitoa Jana (tarehe 9),nadhani ukienda kuanzia leo utaukuta tayari.
Jana nilifata simu na me ilifika tarehe 2 hiyohiyo
Wahindi wa High Life pale Upanga wanazo ila bei zao si mchezo.
*XIAOMI WHOLESALE*
*REDMI S2 4+64GB*
BLUE GREY PINK
Tsh 550,000
*REDMI 6A 2+16GB*
BLACK BLUE GOLD
Tsh 390,000
*REDMI 6A 2+32GB*
BLACK GOLD BLUE
Tsh 420,000
*REDMI 6 3+64GB*
BLACK BLUE
Tsh 500,000
*REDMI NOTE 5 3+32GB*
BLACK GOLD BLUE
Tsh 610,000
*REDMI NOTE 5 Pro 6+128GB*
BLACK GOLD
Tsh 770,000
*NOTE 6 PRO 3+32GB*
BLACK PINK BLUE
Tsh 580,000
*NOTE 6 PRO 4+64GB*
BLUE BLACK PINK
Tsh 660,000
*Mi A2 4+32GB*
BLACK GOLD BLUE
Tsh 640,000
*Mi A2 4+64GB*
PINK BLACK GOLD BLUE
Tsh 660,000
*Mi 6X 6+64GB*
BLUE GOLD RED
Tsh 720,000
*Mi A2 6+128GB*
BLACK GOLD BLUE
Tsh 830,000
*Mi 8 SE 6+128GB*
BLACK GOLD BLUE RED
Tsh 940,000
*Mi 8 6+64GB*
BLACK GOLD BLUE WHITE
Tsh 1,060,000
*Mi 8 6+128GB*
BLACK GOLD BLUE WHITE
Tsh 1,130,000
*Mi 8 Lite 4+64GB*
BLACK GOLD BLUE
Tsh 690,000
*Mi 8 Lite 6+128GB*
BLACK GOLD BLUE
Tsh 860,000
*Mi MAX 3 4+64GB*
BLACK GOLD PINK
Tsh 760,000
*Mi MAX 3 6+128GB*
BLACK GOLD
Tsh 900,000
*Mi MIX 2S 6+64GB*
WHITE BLACK
Tsh 1,110,000
*Mi MIX 2S 6+128GB*
BLACK WHITE
Tsh 1,220,000
*Mi Pocofone F1 6+64GB*
BLACK BLUE RED
Tsh 940,000
*Mi Pocofone F1 6+128GB*
BLACK BLUE RED
Tsh 1,050,000
*MI MIX 3 6+128GB*
BLACK
Tsh 1.4 million
Wacheck jamaa kwa namba yao hiyo +255 717 233 555MI MAX 2 storage 128GB BEI GANI
Mkuu kumbe refund zinaingia fresh bila hata kuwapigia au kusumbuana na Customers service asee!!Card yangu bancabc ili expire nikacreate mpesa mastercard kwa muda tu.
Refund inatakiwa iingie kwenye card directly hayo mambo ya kupiga simu Huduma kwa wateja sio kabisa
View attachment 1093432
Mkuu kumbe refund zinaingia fresh bila hata kuwapiga au kusumbuana na Customers service asee!!
Leo Nimecheck salio la card nikagundua mpunga umeongezeka nikasema ngoja nisake statement nikaipata yaani kitu kumbe kiko fresh hiki.
Ukiona kimya ujue suala Lako liko processed refund zitaingia tu.
Kingine nilichogundua ni kwamba hii Huduma ya mpesa virtual card siyo bure bali kila transaction ufanyayo online wanachota kiasi fulani
View attachment 1093433
Mkuu bei yake imekaa vipi hio mi 9 se yenye storage ya 64 na 4gb.View attachment 1092550View attachment 1092551View attachment 1092552
Hamia Mi Series mkuu, chukua Mi 9 SE nadhani imeipita vingi sana Redmi Note 7 Pro. Hii kwenye kamera ni nzuri sana halafu hata screen yake sio kubwa sana hivyo inashikika mkononi kwa urahisi kabisa, screen yake ni Super AMOLED, si hivyo tu, lakini pia ni imara sana, price yake si kubwa kivile.
Okay, safi sana!View attachment 1093432
Mkuu kumbe refund zinaingia fresh bila hata kuwapigia au kusumbuana na Customers service asee!!
Leo Nimecheck salio la card nikagundua mpunga umeongezeka nikasema ngoja nisake statement nikaipata yaani kitu kumbe kiko fresh hiki.
Ukiona kimya ujue suala Lako liko processed refund zitaingia tu.
Kingine nilichogundua ni kwamba hii Huduma ya mpesa virtual card siyo bure bali kila transaction ufanyayo online wanachota kiasi fulani
View attachment 1093433
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]Hapo nilipozungushia red rectangular ndio refund zenyewe na screenshot za chini ndio disputes zilizo refundable [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1093471
View attachment 1093472
Cc:- Mr. Mobile