Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Mkuu bei yake imekaa vipi hio mi 9 se yenye storage ya 64 na 4gb.
Mi 9 SE, RAM inaanzia 6GB.

Global Version Mi 9 SE Snapdragon 712 6GB 64GB 5.97" AMOLED FHD+ Screen Smartphone 48MP Triple Cameras NFC OTA.

Ukiagiza mwenyewe itakugharimu TZS 763,304.55

NB: Rates na makato zinatofautiana kulingana na njia utakayotumia kufanya malipo.
 
Nimemtumia hiyo naona 677k au hizi ni tofauti mkuu?
 
Ili e
 
Nionavyo ni aina moja Sema ni mambo ya biashara tu seller kaweka bidhaa moja bei tufauti.
Ni aina moja but ni matoleo mawili tofauti,... Moja ni Global version na nyingine ni CN version. Hii ni CN version lakini muuzaji ameweka Official Global ROM.
 
Upo vzr mkuu
 
Wakuu huu uzi ni babukubwa nimezielewa sana hizi simu za xiaomi sasa na kama 650000 yangu sasa nichukue brand gani wakuu ambayo itakuwa poa
 
Wahindi wa High Life pale Upanga wanazo ila bei zao si mchezo.

*XIAOMI WHOLESALE*

[*REDMI S2 4+64GB*
BLUE GREY PINK
Tsh 550,000

Duh! Hii simu ndio naitumia ssaivi, niliagiza mwenyewe hadi mkononi kwangu ili gharimu 331,000.
 
Mi 9 SE zipo nyingi kwenye stock, huyu Fantacy juzi aliweka tangazo ana ship ndani ya masaa 24.
Hilo halina shida nilikuwa namaanisha zile wiki 2-4 za kusubiria mzigo ufike destination country maana ujue siyo wote wenye uvumilivu wa kihivyo!!!
Utakuta mtu anauliza kumbe lengo Lake achukue kama alivyozoea kuchukua dukani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…