Shaffin Simbamwene
JF-Expert Member
- Nov 16, 2008
- 2,156
- 1,535
Ndio hivyo wahindi wa highlife huwa wanaongeza laki 2 au zaidi kwenye bidhaa zao.Duh! Hii simu ndio naitumia ssaivi, niliagiza mwenyewe hadi mkononi kwangu ili gharimu 331,000.
Kweli, yataka moyo!Hilo halina shida nilikuwa namaanisha zile wiki 2-4 za kusubiria mzigo ufike destination country maana ujue siyo wote wenye uvumilivu wa kihivyo!!!
Utakuta mtu anauliza kumbe lengo Lake achukue kama alivyozoea kuchukua dukani
Unazungumzia aina gan mkuu????Duh! Hii simu ndio naitumia ssaivi, niliagiza mwenyewe hadi mkononi kwangu ili gharimu 331,000.
Redmi S2 yenye Ram 4gb na ROM 64gbUnazungumzia aina gan mkuu????
Kabla ya kuupdate ilikuwa je?Natumia note 7 kwa siku ya 3 leo, battery ina drain faster sana kuliko mategemeo. I used to enjoy battery life on my 5 plus.
Nimejaribu kufuatilia kwenye forums lkn sijapata solution ya kueleweka. Ila nimejua chanzo ni MIUI update.
Yangu ni Chinese version turned into global. Naomba kujua km uwezekano wa kuweka updates za nyuma [emoji41][emoji41]View attachment 1093898
Yes!Unazungumzia aina gan mkuu????
Nimenunua ikiwa hivi hivi sasa sijui kama ilikua updated beforeKabla ya kuupdate ilikuwa je?
Tayari ume unlock boot loader and rooted?Nimenunua ikiwa hivi hivi sasa sijui kama ilikua updated before
Naomba code za kupata statementView attachment 1093432
Mkuu kumbe refund zinaingia fresh bila hata kuwapigia au kusumbuana na Customers service asee!!
Leo Nimecheck salio la card nikagundua mpunga umeongezeka nikasema ngoja nisake statement nikaipata yaani kitu kumbe kiko fresh hiki.
Ukiona kimya ujue suala Lako liko processed refund zitaingia tu.
Kingine nilichogundua ni kwamba hii Huduma ya mpesa virtual card siyo bure bali kila transaction ufanyayo online wanachota kiasi fulani
View attachment 1093433
👆👆👆👆Hapo nilipozungushia red rectangular ndio refund zenyewe na screenshot za chini ndio disputes zilizo refundable 👇👇👇👇
View attachment 1093471
View attachment 1093472
Cc:- Mr. Mobile
Chinese version si inasifika na baadhi ya wadau humu kuwa na miundombinu bora (hardware) Mbona inauzwa bei chini ya Global?
Naomba code za kupata statement
Inawezekanaafu iv inawezekana kuagiza mzg kwa kutumia sanduk la post la mtu/ taasisi. afu ukaipata.?!
Endelea kusubiri mkuu utaendelea kupata update hadi mzigo unafika kama inavyoonyesha hapo chiniEbu nisaidieni wadau nmeagiza mzigo, nitajuaje umefika nikacheki kwenye box posta?
Status ya mwisho kama wiki moja iliopita, kwenye app ya aliexpress iliandika "cargo accepted by airline" tangu hapo sijui sasa imefika wapi?
Na je itaendelea kuni update mpk unafika? Wazoefu naombeni taarifa ndio nmeagiza kwa mara ya kwanza
Hadi ukichukua mzigo update inakuwepo kwamba mzigo tayari umechukuliwaAsante mkuu, duh kweli jamaa wanatoa update si mchezo.
Nilijua jinsi posta za huku kwetu walivo wazembe hawawezi update. Kumbe nao wanatumia tech[emoji16][emoji16]Hadi ukichukua mzigo update inakuwepo kwamba mzigo tayari umechukuliwa
Ukisaini tu kabla ya kupewa furushi lako wanascan na Barcode scanner so hakuna ujanja ujanja.Nilijua jinsi posta za huku kwetu walivo wazembe hawawezi update. Kumbe nao wanatumia tech[emoji16][emoji16]