Shaffin Simbamwene
JF-Expert Member
- Nov 16, 2008
- 2,156
- 1,535
Ndio hivyo wahindi wa highlife huwa wanaongeza laki 2 au zaidi kwenye bidhaa zao.Duh! Hii simu ndio naitumia ssaivi, niliagiza mwenyewe hadi mkononi kwangu ili gharimu 331,000.
Ukiagiza mwenyewe au kuagiziwa unaokoa karibia 150K kama si zote cha muhimu ni kuwa mvumilivu tu zile wiki za kusubiria mzigo