Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Mwenye kufahamu njia nzuri ya downgrade version ya simu ya Xiaomi note 4X naomba anielekeze.
 
Mkuu ulitakiwa umueleze bei Inategemea rangi ya simu pia simu inakuja na cherge tu pamoja na cover la kizushi.
EAR BUDS, tempered glass na case za maana atanunua pembeni
Mkuu Shaffin Simbamwene inabidi umwambie mtu ile basic price, hizo accessories ni viambatanisho tu, anaweza kuagiza hata baadae, kwani havina umuhimu kihivyo. Wengine simu kubandika glass protector na kuweka case ni kiungulia[emoji3]
 
Mkuu niligombana na binamu yangu kisa simu haina earphone so why nimetoka angalizo maana wengine siyo waelewa wao wanajua bei inahusisha vitu vyote hivyo.
 
Mkuu hilo case ni 19-20K kwa aliexpress standard shipping maana free shipping utakaa hata miezi 2 kusubiria.
 
Natumia max 2 tatizo nimeshindwa kupata glass protector na cover yake kwa anayefahamu wapi naweza pata msaada please. Iko vzr Ram 4 GB storage 64 battery 4000mhp
 
Kwanini simu za hawa jamaa hawaweki led flash kwenye selfie camera?
 
Wadau mzigo wa mi 8 lite naupata kwa sh ngap mpaka mkononi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…