Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wakuu mwenye kuhitaji Redmi 5 2GB RAM 16GB ROM Snapdragon 450 (14nm) 3300mAh battery, colour Gold. Price 280k Ipo kwenye good condition. Kama upo interested njoo PM au WhatsApp 0759110633 kwa picha na maelezo zaidi.
 
Kuna watu baadhi yao ni waaminifu ,shukrani MSAUZY [emoji16][emoji16][emoji16]nimepata cover nilosubiri kwa wiki kadhaa now ipo mkononi
IMG20190602193243.jpeg
IMG20190602112420.jpeg
IMG20190602112415.jpeg
 
Posta/TRA wanatumia kigezo gani kuchaji kodi baadhi ya mizigo na mingine haitozwi kodi.For the first time niliagiza Redmi 7 Alliexpress mzigo ukapitia TRA Customs wakati huko nyuma nimewahi kununua power bank,watches,simu,protectors,simu (Ebay,Gearbest) na hazikutozwa kodi.Wanaangalia size ya parcel au value ya parcel ?
 
Nafikiri wanaangalia value yaani kama mzigo umefikia kiasi fulani wakutoze kodi Sema tu sellers wanatusaidia kiaina kwenye invoice ya mzigo husika kwa kuandika bei ya chini tofauti na Ile bei halisi uliyonunulia so why tunapita kulia, ila TRA wakistukia na kuamua kufungua ili wa-valuate wenyewe hapo huchomoki
 
Back
Top Bottom