Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Usiogope mkuu kupotea mzigo au kudhulumiwa ni ngumu sana kwa aliexpress niliezoea hata Mm nilikuwa mgeni lakini nimezoea mpaka nawaagizia watu mtaani job nk..
Mkuu wewe ushakua mzoefu saana, Leo nishaagiza vitu vidogo vidogo..ngoja nione inakuaje kuaje... Ila Naona Vodacom Mpesa MasterCard wako vizuri Yani fasta tu Muamala ushafanyika, Dah Maisha Yanaenda Kasi saaana!!!
 
Uwiz ulikua unafanyika vp
Mizigo ilikuwa inapotea boss,... unaona mzigo umetua nchini lakini unapotelea sehemu isiyojulikana haukufikii, pia kuna jamaa aliwahi kukuta simu imechomolewa imebaki charger na user guide pekee. Ila wana refund pesa yote kama ilithibitika kweli mzigo umepotea. Ndio maana store nyingi za China ziliacha kutuma items Tanzania.
 
Ahaaa!!!!
Watu tunaagiza kama tupo Kariakoo vile kuspend laki 7 au zaidi ni kawaida boss, punguzeni uoga.
Maana Tangu nianze kuagiza sijapoteza zaidi ya jamaa wa Equity Bank kunibania refund buku 15
Mbona Equity hawasumbui,jaribu kuwasiliana na Huduma kwa wateja
Kama bado unahitaji hiyo Ela zama PM nikupe email ya customer care wa Equity akusaidie
 
IMG_2236.JPG
 
Habari, nataka nianze kuagiza memory card au flash zaidi ya moja namaanisha 5+ je naweza tozwa kodi na kama nikitozwa ni kiasi gani?
 
Naomba screen shots za APN settings za Vodacom wanafamilia xiaomi
 
Back
Top Bottom