Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ilichukua Muda gani mpaka kukufikiaSikulipa
Mkuu ebu fafanua Kodi ni itak
uwa sh ngapi kwa simu ya $182 mi 8 kite
Tuhamie wapi mkuuHameni hizo posta,mimi sijawahi pigwa kodi hata siku moja
T
Tuhamie wapi mkuu
binafsi simu naagizaa kupitia gearbest wanakuwaga na vi promo flan iv si vya kuviacha...............mfano redmi 7 ya 2gb na 16gb hdd wameniuzia usd 99.99 hapo na offer ya 9% off yaaan had mkoni haijafika usd 100Nimechoka subiria mzigo doh
Nimeagiza tarehe 27/04/2019, Ukatumwa tarehe 03/05/2019 siku hiyohiyo trackinhmg ikasema " accepted by airline" mpk leo hakuna mabadiliko[emoji3][emoji3][emoji16] ina maana kwenye shirika la ndege wamepokea alafu hawa ship mwezi sasa kasoro siku 3?
Alafu wadau sisikii mkiagiza
Gearbest
Banggood
naona kwa Ali tu. Kuna utofauti?
Tatu ipi fast shipping? Nimekuja gundua kuna
Aliexpress standard shipping
China airmail
Singapore mail
Nk nk
Hii gearbest mara zote nikitaka kununua kitu naambiwa "this seller does not ship to your country"binafsi simu naagizaa kupitia gearbest wanakuwaga na vi promo flan iv si vya kuviacha...............mfano redmi 7 ya 2gb na 16gb hdd wameniuzia usd 99.99 hapo na offer ya 9% off yaaan had mkoni haijafika usd 100
GearBest bei zao zipo juu ukilinganisha na AliExpress kwa gadgets karibia zote. Mfano hiyo Redmi 6a 2GB RAM, 16GB ROM. Kwa bei ya sasa AliExpress inauzwa US $91.03, hapo bado haujaweka store coupon, nk. Ila uzuri wa GearBest wanawai sana kutuma mizigo na pia zile GB points huwa zina save kwa kiasi fulani kwa bidhaa ambazo hazipo kwenye flash sale.binafsi simu naagizaa kupitia gearbest wanakuwaga na vi promo flan iv si vya kuviacha...............mfano redmi 7 ya 2gb na 16gb hdd wameniuzia usd 99.99 hapo na offer ya 9% off yaaan had mkoni haijafika usd 100
Mbona bidhaa nyingi sana wanatuma TZ.Hii gearbest mara zote nikitaka kununua kitu naambiwa "this seller does not ship to your country"
Zinatumika vizuri tu! Sema wamarekani wao wanapenda zaidi kununua zaidi bidhaa zao za nyumbani.Msaada @Mr Mobile
Labda bangood ila gearbest wanaship vizur tu na wanatumia singpost kuanzia siku 12 nzigo ushafikaHii gearbest mara zote nikitaka kununua kitu naambiwa "this seller does not ship to your country"
Gearbest redmi 6A nmenunua usd 74 nahisi iii ilikuwa ni kwaajiri yangu tu ndo maaaana ikaandikwa email only so walinitumia emailGearBest bei zao zipo juu ukilinganisha na AliExpress kwa gadgets karibia zote. Mfano hiyo Redmi 6a 2GB RAM, 16GB ROM. Kwa bei ya sasa AliExpress inauzwa US $91.03, hapo bado haujaweka store coupon, nk. Ila uzuri wa GearBest wanawai sana kutuma mizigo na pia zile GB points huwa zina save kwa kiasi fulani kwa bidhaa ambazo hazipo kwenye flash sale.
alaf iyo waliyoniuzia 99 sio redmi 6a ni redmi 7............6a nmenunua usd 74GearBest bei zao zipo juu ukilinganisha na AliExpress kwa gadgets karibia zote. Mfano hiyo Redmi 6a 2GB RAM, 16GB ROM. Kwa bei ya sasa AliExpress inauzwa US $91.03, hapo bado haujaweka store coupon, nk. Ila uzuri wa GearBest wanawai sana kutuma mizigo na pia zile GB points huwa zina save kwa kiasi fulani kwa bidhaa ambazo hazipo kwenye flash sale.
vp unayo..!?Wadau..
Hivi xiaomi redmi 5 plus yenye ram 4gb internal 64gb used approximately 3 months inaweza kuuzwa bei gani?
BlessedZinatumika vizuri tu! Sema wamarekani wao wanapenda zaidi kununua zaidi bidhaa zao za nyumbani.
Hawa shami watatufilisi sasa....so great
Hiv offer za namna hii zinazotamanisha hiv, ni kweli hiyo phone inakua og au ni famba tu? Mana kutoka 270 mpk 90 usd c mchezokuna ofa iyo nmetumiiiwa email na gearbest Redmi 7 ya 2gb kwa usd 89.99 kuna mtu mwingine katumia au iii n exclussive kwa ajiri yangu🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪View attachment 1112191