Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Mkuu ebu fafanua Kodi ni itak
uwa sh ngapi kwa simu ya $182 mi 8 kite
 
Hameni hizo posta,mimi sijawahi pigwa kodi hata siku moja
 
Nimechoka subiria mzigo doh
Nimeagiza tarehe 27/04/2019, Ukatumwa tarehe 03/05/2019 siku hiyohiyo trackinhmg ikasema " accepted by airline" mpk leo hakuna mabadiliko[emoji3][emoji3][emoji16] ina maana kwenye shirika la ndege wamepokea alafu hawa ship mwezi sasa kasoro siku 3?

Alafu wadau sisikii mkiagiza
Gearbest
Banggood
naona kwa Ali tu. Kuna utofauti?

Tatu ipi fast shipping? Nimekuja gundua kuna

Aliexpress standard shipping
China airmail
Singapore mail
Nk nk
binafsi simu naagizaa kupitia gearbest wanakuwaga na vi promo flan iv si vya kuviacha...............mfano redmi 7 ya 2gb na 16gb hdd wameniuzia usd 99.99 hapo na offer ya 9% off yaaan had mkoni haijafika usd 100
 
Hii gearbest mara zote nikitaka kununua kitu naambiwa "this seller does not ship to your country"
 
binafsi simu naagizaa kupitia gearbest wanakuwaga na vi promo flan iv si vya kuviacha...............mfano redmi 7 ya 2gb na 16gb hdd wameniuzia usd 99.99 hapo na offer ya 9% off yaaan had mkoni haijafika usd 100
GearBest bei zao zipo juu ukilinganisha na AliExpress kwa gadgets karibia zote. Mfano hiyo Redmi 6a 2GB RAM, 16GB ROM. Kwa bei ya sasa AliExpress inauzwa US $91.03, hapo bado haujaweka store coupon, nk. Ila uzuri wa GearBest wanawai sana kutuma mizigo na pia zile GB points huwa zina save kwa kiasi fulani kwa bidhaa ambazo hazipo kwenye flash sale.
 
kuna ofa iyo nmetumiiiwa email na gearbest Redmi 7 ya 2gb kwa usd 89.99 kuna mtu mwingine katumia au iii n exclussive kwa ajiri yangu🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪
1112191
 
GearBest bei zao zipo juu ukilinganisha na AliExpress kwa gadgets karibia zote. Mfano hiyo Redmi 6a 2GB RAM, 16GB ROM. Kwa bei ya sasa AliExpress inauzwa US $91.03, hapo bado haujaweka store coupon, nk. Ila uzuri wa GearBest wanawai sana kutuma mizigo na pia zile GB points huwa zina save kwa kiasi fulani kwa bidhaa ambazo hazipo kwenye flash sale.
Gearbest redmi 6A nmenunua usd 74 nahisi iii ilikuwa ni kwaajiri yangu tu ndo maaaana ikaandikwa email only so walinitumia email
1112193
 
GearBest bei zao zipo juu ukilinganisha na AliExpress kwa gadgets karibia zote. Mfano hiyo Redmi 6a 2GB RAM, 16GB ROM. Kwa bei ya sasa AliExpress inauzwa US $91.03, hapo bado haujaweka store coupon, nk. Ila uzuri wa GearBest wanawai sana kutuma mizigo na pia zile GB points huwa zina save kwa kiasi fulani kwa bidhaa ambazo hazipo kwenye flash sale.
alaf iyo waliyoniuzia 99 sio redmi 6a ni redmi 7............6a nmenunua usd 74
 
Back
Top Bottom