uyui kwetu
JF-Expert Member
- Oct 23, 2013
- 1,214
- 783
Usiogope mkuu kupotea mzigo au kudhulumiwa ni ngumu sana kwa aliexpress niliezoea hata Mm nilikuwa mgeni lakini nimezoea mpaka nawaagizia watu mtaani job nk..
Mkuu wewe ushakua mzoefu saana, Leo nishaagiza vitu vidogo vidogo..ngoja nione inakuaje kuaje... Ila Naona Vodacom Mpesa MasterCard wako vizuri Yani fasta tu Muamala ushafanyika, Dah Maisha Yanaenda Kasi saaana!!!