The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
Kweli.....soon na mimi nataka nithubutu!!Ukianza kuagiza hutaacha, mi nilianza kiuogauoga lkn ss hivi nimekua fundi. Kikubwa uthubutu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli.....soon na mimi nataka nithubutu!!Ukianza kuagiza hutaacha, mi nilianza kiuogauoga lkn ss hivi nimekua fundi. Kikubwa uthubutu
Vp sijaelewa
Ni unauza au inauzwa bei gani?MI note 7 pro
Itakuwa Chines versionNi unauza au inauzwa bei gani?
Mkuu setting za vodaNaomba screen shots za APN settings za Vodacom wanafamilia xiaomi
Equity kwa manunuzi ya mtandaoni wako poa?Ahaaa!!!!
Watu tunaagiza kama tupo Kariakoo vile kuspend laki 7 au zaidi ni kawaida boss, punguzeni uoga.
Maana Tangu nianze kuagiza sijapoteza zaidi ya jamaa wa Equity Bank kunibania refund buku 15
Hii cover ni kali sana Kampuni gani boss wanatengeneza hizi cover pia ni hard material au soft zile.Kuna watu baadhi yao ni waaminifu ,shukrani MSAUZY [emoji16][emoji16][emoji16]nimepata cover nilosubiri kwa wiki kadhaa now ipo mkononi View attachment 1115628View attachment 1115630View attachment 1115632
Hahah hadi naichukia asee nowadys 70 kuanzia asubuhi saa 3 hadi night simu bado ina moto 20% na ni mtu wa online mda wote na kuongea na simu kwa nature ya mishe zangu.Kama wewe unatumia redmi note 6pro acha comment hapa .
Kitu kinakaa na chaji hatari
Hahah hadi naichukia asee nowadys 70 kuanzia asubuhi saa 3 hadi night simu bado ina moto 20% na ni mtu wa online mda wote na kuongea na simu kwa nature ya mishe zangu.
Soft material ni nzuri balaa ,[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Hii cover ni kali sana Kampuni gani boss wanatengeneza hizi cover pia ni hard material au soft zile.
Asante mkuu. Sasa zile sehemu nyingine naziacha bila kuzijaza!?Mkuu setting za voda
Name : Vodacom
Apn : Internet .
Tigo
Name ; Tigo
Apn; Internet .
Ahahaaa!!!Kama wewe unatumia redmi note 6pro acha comment hapa .
Kitu kinakaa na chaji hatari
Ahahaaa!!!
Dar mpaka Moro
Nafikiri wanaangalia value yaani kama mzigo umefikia kiasi fulani wakutoze kodi Sema tu sellers wanatusaidia kiaina kwenye invoice ya mzigo husika kwa kuandika bei ya chini tofauti na Ile bei halisi uliyonunulia so why tunapita kulia, ila TRA wakistukia na kuamua kufungua ili wa-valuate wenyewe hapo huchomokiPosta/TRA wanatumia kigezo gani kuchaji kodi baadhi ya mizigo na mingine haitozwi kodi.For the first time niliagiza Redmi 7 Alliexpress mzigo ukapitia TRA Customs wakati huko nyuma nimewahi kununua power bank,watches,simu,protectors,simu (Ebay,Gearbest) na hazikutozwa kodi.Wanaangalia size ya parcel au value ya parcel ?
Asante mkuu. Sasa zile sehemu nyingine naziacha bila kuzijaza!?