Shaffin Simbamwene
JF-Expert Member
- Nov 16, 2008
- 2,156
- 1,535
RUDI matoleo ya nyuma yasiyo na notch Kama redmi 5 Series utapata hayo makitu.Kwanini simu za hawa jamaa hawaweki led flash kwenye selfie camera?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
RUDI matoleo ya nyuma yasiyo na notch Kama redmi 5 Series utapata hayo makitu.Kwanini simu za hawa jamaa hawaweki led flash kwenye selfie camera?
Nataka niagizie Memory Card huko Aliexpress, 32GB,64GB n 128GB Respectively zina TZS ngapi each?
Mkuu mpaka inafika TZ..?[emoji848]64gb 20,000tsh
Mkuu mpaka inafika TZ..?[emoji848]
[emoji44][emoji44][emoji44] Safi! Imechukua siku ngapi?Ndio nimenuna moja 64gb hadi mkononi imegharimu 19,000tsh
[emoji44][emoji44][emoji44] Safi! Imechukua siku ngapi?
Duh hii [emoji116] kweli au? [emoji848]3 weeks.
Uangalie hiyo memory ni class gani ina uwezo gani pia pitia reviews za walionunua kabla maana zingine haziformatiki au zinakuwa slow kinyama.Duh hii [emoji116] kweli au? [emoji848] View attachment 1120784
Wakuu nilikuwa nalipia kununua simu ya Redmi 7 Aliexpress, nimetumia M master card. Sasa wakati nalipia Mara ya kwanza niliambiwa salio, hivyo nikaongeza hela kiasi Cha Kama elfu 15. Wakati na lipia nilivyo bonyeza pay now baada ya kujaza taarifa za kadi Yangu. Imeload kidogo halafu ika kata na kuandika UNPAID. Je Nini Ni tatizo maana nimejaribu Mara kadhaa ikifika hapo tuu ina load kwa mda halafu inarudi kwenye order na kuandika UNPAID.
Wenye uzoefu. Order Yangu ina cost 122.63.$ account ina laki 3 na 8000.
Hongera kwa kuleta mshindo nyumaMzigo nimeupata posta Zanzibar, sijalipa hela yoyote.
Hizo zipo vizuri kwa matumizi ya kawaida ila Mziki wa maana ni SanDisk Extreme pro yaani ni 🔥🔥🔥Uangalie hiyo memory ni class gani ina uwezo gani pia pitia reviews za walionunua kabla maana zingine haziformatiki au zinakuwa slow kinyama.
Mi nili nunua brand ya LD wapo vizuri kwa kweli.
View attachment 1120801
Kuna video moja nimeiona youtube jamaa anaongelea 48MP camera ya redmi note 7 kuwa ni sawa tu 12MP ya simu kama pixel 3a, samsung S8 nk, je ni kweli
Hizo zipo vizuri kwa matumizi ya kawaida ila Mziki wa maana ni SanDisk Extreme pro yaani ni [emoji91][emoji91][emoji91]
View attachment 1121285
Binafsi cover na protectors huwa naugua.Mkuu Shaffin Simbamwene inabidi umwambie mtu ile basic price, hizo accessories ni viambatanisho tu, anaweza kuagiza hata baadae, kwani havina umuhimu kihivyo. Wengine simu kubandika glass protector na kuweka case ni kiungulia[emoji3]
Binafsi cover na protectors huwa naugua.
Nipe link ya Flash mkuu GB 128Hizo zipo vizuri kwa matumizi ya kawaida ila Mziki wa maana ni SanDisk Extreme pro yaani ni [emoji91][emoji91][emoji91]
View attachment 1121285
Shida ni kwamba most of them lazima ufanye ile kitu ya FWRP.Ukitaka kuenjoy camera za xiaomi,tumia Google camera
Shida ni kwamba most of them lazima ufanye ile kitu ya FWRP.