Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Nataka niagizie Memory Card huko Aliexpress, 32GB,64GB n 128GB Respectively zina TZS ngapi each?
 
Duh hii [emoji116] kweli au? [emoji848]
Screenshot_20190607-164904.jpeg
 
Mzigo nimeupata posta Zanzibar, sijalipa hela yoyote.
Wakuu nilikuwa nalipia kununua simu ya Redmi 7 Aliexpress, nimetumia M master card. Sasa wakati nalipia Mara ya kwanza niliambiwa salio, hivyo nikaongeza hela kiasi Cha Kama elfu 15. Wakati na lipia nilivyo bonyeza pay now baada ya kujaza taarifa za kadi Yangu. Imeload kidogo halafu ika kata na kuandika UNPAID. Je Nini Ni tatizo maana nimejaribu Mara kadhaa ikifika hapo tuu ina load kwa mda halafu inarudi kwenye order na kuandika UNPAID.

Wenye uzoefu. Order Yangu ina cost 122.63.$ account ina laki 3 na 8000.
 
Back
Top Bottom