Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Tupeni elimu kuhusu hiyo Camera

Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako
 
~Xiaomi Redmi 5 2GB RAM, 16GB ROM, SNADRAGON 450, 5.7" screen, 3300mAh battery, Gold
~Condition: Used like a new
~Price: 280k or Best offer
~Location: Dodoma
~Contact: 0759110633 WhatsApp/Call/SMS
 
Nimeagiza hiyo kitu kutoka kwa Hujintao naisubiri kwa hamu sana...
Ngapi ulidondoka pia naona nowadays wamezitoa kabisa zimebaki note 7 kavu na redmi 7 na matoleo mengine kadhaa.
 
Nimejaza form ya manunuzi AliEpress,ni mara yangu ya kwanza kufanya manunuzi mtandao,pale kwenye Zip/Postal Code najaza code zipi? Naomba uzoefu wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…