pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,248
- 3,663
Search google utapata hadi kitongoji unachoishiNimejaza form ya manunuzi AliEpress,ni mara yangu ya kwanza kufanya manunuzi mtandao,pale kwenye Zip/Postal Code najaza code zipi? Naomba uzoefu wenu.
Weka picha na bei bossNafikiria kuiuza mi note 5 pro yangu jama, nani anaweza fika bei
Inaitwaje imean brandy na bei zimekaajeNimeagiza Smart Watch
Si umeona kaweka screen shot Kamanda ni kitu cha LEMFO bei 100KInaitwaje imean brandy na bei zimekaaje
Umeweka india ili iweje..?Namshukuru alieanzisha huu uzi.. Pia Mr mobile kunisaidia sanaa.. Alafu country kuna mtu amenishauri nimeweka india.. Ni sawa?? View attachment 1132956View attachment 1132957
Ni 32gb au 64Anasema eti inawai pokea updates.. 378k mpesa master card
Mkuu 64Gb kwa 378K wapi na wapi?Ni 32gb au 64
Ni 32gb au 64
hapana ni battery tuAnauza na Protector boss wangu?
740000/=Ngapi ulidondoka pia naona nowadays wamezitoa kabisa zimebaki note 7 kavu na redmi 7 na matoleo mengine kadhaa.
Asante sana mkuu .hii ndio dhana halisi ya jamii forum jamani afu kwa mtanzania yeyote ambaye yuko nairobi tuwasiliane hapa au aliyeko china Nina shida nahitaji msaadaNamshukuru alieanzisha huu uzi.. Pia Mr mobile kunisaidia sanaa.. Alafu country kuna mtu amenishauri nimeweka india.. Ni sawa?? View attachment 1132956View attachment 1132957
Mkuu nicheki inbox Kwa namba yanguAsante sana mkuu .hii ndio dhana halisi ya jamii forum jamani afu kwa mtanzania yeyote ambaye yuko nairobi tuwasiliane hapa au aliyeko china Nina shida nahitaji msaada
Njoo kwanza pm nikutapeliMkuu nicheki inbox Kwa namba yangu
🤣🤣🤣 Nimeona unajijibu mwenyewe boss vipi hapa.Njoo kwanza pm nikutapeli
Asante sana mkuu .hii ndio dhana halisi ya jamii forum jamani afu kwa mtanzania yeyote ambaye yuko nairobi tuwasiliane hapa au aliyeko china Nina shida nahitaji msaada
Mkuu nicheki inbox Kwa namba yangu
Njoo kwanza pm nikutapeli