Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wana power bank nzuri sana.
Iliharibika sasa natafuta ingine.
Sijui Tz zinapatikana wapi maana iyo aliniuzua mkandalasi wa kichina alikuja nayo toka kwao
Zipo lkn ni kwa bei kubwa sana kipindi cha nyuma niliagiza yenye 10000mAh kwa dollar 25, lkn siku hizi hawatumi tena vitu vyenye battery kubwa kwa njia ya post, kutokana na sheria mpya ya usafirishaji ya posta, kuhofia zinaweza kulipuka.
 
Ni.kweli tupu. Ukienda India,hizo simu na products za Xiaomi ni heshima. Nawafananisha na iPhone.
 
Itabidi nijipange,simu safi sana!
 
Jipange mkuu utaenjoy sana....

Jipange mkuu utaenjoy sana....
Hii ndio kampuni yangu bora kwa bei nafuu bila kujutia camera [emoji327] quality ya picha Nzuri isiyofifia flash yenye ubora 2 betri kubwa yenye kutunza chaji vizuri na kujaa haraka 3 kioo kisichokwaruzika mapema mwangavu na mwanga wa kusomea usioumiza Macho reading mode 3 Duall app yenye kuwa na apps mbili mfano Facebook mbili kwa acount 2 tofauti 3 app lock [emoji359] inafunga app zote kwa wale simu kushikwa na watu wengi 4 mi acount hii ina vitu vingi kwanza kuiwekea ulinzi simu yako ya xiaom pia kununua vitu vya kampuni ya xiaom kwa unahisi, mi forums kwa matatizo yote ya xiaom yanatatuliwa hapo 5 infrared port kwa wale wanaopenda remote xiaom hawajakuacha mbali, 6 ukiwa na xiaom phone [emoji336] huna haja ya kuwazia betri kuisha na kuzima data kila mda Ukimaliza kuchat unaweka mfukoni tu inazima yenyewe na kujiwasha auto ukitaka kuendelea kuchati. Naifurahia sana hii kampuni Niko na redmi 4x chuma siwazii maji nk
 
Hii mashine nouma sanaa... Tuna enjoy tu.
 
 
we mtoto was Arusha nikuvue kwa ngapi hio kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…