Mr. Mobile
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,439
- 1,633
[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zipo lkn ni kwa bei kubwa sana kipindi cha nyuma niliagiza yenye 10000mAh kwa dollar 25, lkn siku hizi hawatumi tena vitu vyenye battery kubwa kwa njia ya post, kutokana na sheria mpya ya usafirishaji ya posta, kuhofia zinaweza kulipuka.Wana power bank nzuri sana.
Iliharibika sasa natafuta ingine.
Sijui Tz zinapatikana wapi maana iyo aliniuzua mkandalasi wa kichina alikuja nayo toka kwao
Hii makitu hii,kipekee naikubali sana. Mchina hapo katenda haki.Xiaomi Mi 5x 4gb Ram, 32gb Rom, hautojutia hela yako abadan.
![]()
![]()
![]()
Ni.kweli tupu. Ukienda India,hizo simu na products za Xiaomi ni heshima. Nawafananisha na iPhone.Watu wananunua simu kwa mazoea ya brand zao pendwa ila xiaomi ni habari nyingine,kuna jamaa yetu kazini anandugu yake huko Dubai kila jamaa wako launch mzigo inachukua a nakuja kuuza huku Bongo,kuna moja nimetoka sasa hivi kachukua mshikaji kama week imepita ,intern yake 120gb,ram 4,processor 2.5quadcore bila kusahau camera yake inachuka video za slow motion
Halafu kuna product za Lenovo nazo ni hatari,lenovo vibe,lenovo zuk z1 natumia Mimi huwezi nitoa humu Bonge LA simu muonekano kama iPhone 6 ..hawa jamaa wa xiaomi soko lao wametarget huko duniani kwa hyo quality yao sio kichina kama tulivozoea
Itabidi nijipange,simu safi sana!Nimecheck hii Xiaomi Redmi Note 4X 4G Phablet MIUI 9 5.5 inch Snapdragon 625 Octa Core 2.0GHz Fingerprint Scanner 5.0MP + 13.0MP Cameras
Main Features:
Display: 5.5 inch FHD 2.5D Arc screen
CPU: Snapdragon 625 Octa Core 2.0GHz
GPU: Adreno 506
System: MIUI 9
Camera: rear camera 13.0MP with AF and flashlight + front camera 5.0MP
Bluetooth: 4.2
Navigation: GPS, A-GPS, GLONASS
Sensor: Accelerometer, Ambient Light Sensor, Gravity Sensor, Gyroscope, Infrared, Proximity Sensor, Fingerprint Sensor
SIM Card: dual SIM dual standby, Micro SIM + Nano SIM cards![]()
![]()
![]()
Bei yake ni 380000/= hadi kufika Bongo.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Tecno Spark Plus, kama ni mpenzi wa tecno.
Jichange uchukue hii265000/=![]()
Jipange mkuu utaenjoy sana....
![]()
Hii ndio kampuni yangu bora kwa bei nafuu bila kujutia camera [emoji327] quality ya picha Nzuri isiyofifia flash yenye ubora 2 betri kubwa yenye kutunza chaji vizuri na kujaa haraka 3 kioo kisichokwaruzika mapema mwangavu na mwanga wa kusomea usioumiza Macho reading mode 3 Duall app yenye kuwa na apps mbili mfano Facebook mbili kwa acount 2 tofauti 3 app lock [emoji359] inafunga app zote kwa wale simu kushikwa na watu wengi 4 mi acount hii ina vitu vingi kwanza kuiwekea ulinzi simu yako ya xiaom pia kununua vitu vya kampuni ya xiaom kwa unahisi, mi forums kwa matatizo yote ya xiaom yanatatuliwa hapo 5 infrared port kwa wale wanaopenda remote xiaom hawajakuacha mbali, 6 ukiwa na xiaom phone [emoji336] huna haja ya kuwazia betri kuisha na kuzima data kila mda Ukimaliza kuchat unaweka mfukoni tu inazima yenyewe na kujiwasha auto ukitaka kuendelea kuchati. Naifurahia sana hii kampuni Niko na redmi 4x chuma siwazii maji nkJipange mkuu utaenjoy sana....
![]()
Hii mashine nouma sanaa... Tuna enjoy tu.Hii ndio kampuni yangu bora kwa bei nafuu bila kujutia camera [emoji327] quality ya picha Nzuri isiyofifia flash yenye ubora 2 betri kubwa yenye kutunza chaji vizuri na kujaa haraka 3 kioo kisichokwaruzika mapema mwangavu na mwanga wa kusomea usioumiza Macho reading mode 3 Duall app yenye kuwa na apps mbili mfano Facebook mbili kwa acount 2 tofauti 3 app lock [emoji359] inafunga app zote kwa wale simu kushikwa na watu wengi 4 mi acount hii ina vitu vingi kwanza kuiwekea ulinzi simu yako ya xiaom pia kununua vitu vya kampuni ya xiaom kwa unahisi, mi forums kwa matatizo yote ya xiaom yanatatuliwa hapo 5 infrared port kwa wale wanaopenda remote xiaom hawajakuacha mbali, 6 ukiwa na xiaom phone [emoji336] huna haja ya kuwazia betri kuisha na kuzima data kila mda Ukimaliza kuchat unaweka mfukoni tu inazima yenyewe na kujiwasha auto ukitaka kuendelea kuchati. Naifurahia sana hii kampuni Niko na redmi 4x chuma siwazii maji nk
Nikitoka hapa nahamia mi mix 2 Chuma hatari sanaHii mashine nouma sanaa... Tuna enjoy tu.
Xiaomi Mi Mix 2, ni level ya Samsung galaxy S8, Ni noma sana hiyo simu.Nikitoka hapa nahamia mi mix 2 Chuma hatari sana
Hii ndo inasimamia $200?Xiaomi Mi Mix 2, ni level ya Samsung galaxy S8, Ni noma sana hiyo simu.
![]()
![]()
![]()
![]()
Hii Safi sana nikiangalia test yake kwa kioo ni noma jiwe hiloXiaomi Mi Mix 2, ni level ya Samsung galaxy S8, Ni noma sana hiyo simu.
![]()
![]()
![]()
![]()
Galaxy s8 ina ram 4GB hii ina 8GBXiaomi Mi Mix 2, ni level ya Samsung galaxy S8, Ni noma sana hiyo simu.
![]()
![]()
![]()
![]()
Gsmarena nimeona ni Euro 520Hii ndo inasimamia $200?
Mh milion Na ushehe juu?!Gsmarena nimeona ni Euro 520
Hii ndio kampuni yangu bora kwa bei nafuu bila kujutia camera [emoji327] quality ya picha Nzuri isiyofifia flash yenye ubora 2 betri kubwa yenye kutunza chaji vizuri na kujaa haraka 3 kioo kisichokwaruzika mapema mwangavu na mwanga wa kusomea usioumiza Macho reading mode 3 Duall app yenye kuwa na apps mbili mfano Facebook mbili kwa acount 2 tofauti 3 app lock [emoji359] inafunga app zote kwa wale simu kushikwa na watu wengi 4 mi acount hii ina vitu vingi kwanza kuiwekea ulinzi simu yako ya xiaom pia kununua vitu vya kampuni ya xiaom kwa unahisi, mi forums kwa matatizo yote ya xiaom yanatatuliwa hapo 5 infrared port kwa wale wanaopenda remote xiaom hawajakuacha mbali, 6 ukiwa na xiaom phone [emoji336] huna haja ya kuwazia betri kuisha na kuzima data kila mda Ukimal
Inajizimaje na kujiwasha data mkuu naset wapi hapo
we mtoto was Arusha nikuvue kwa ngapi hio kituHii ndio kampuni yangu bora kwa bei nafuu bila kujutia camera [emoji327] quality ya picha Nzuri isiyofifia flash yenye ubora 2 betri kubwa yenye kutunza chaji vizuri na kujaa haraka 3 kioo kisichokwaruzika mapema mwangavu na mwanga wa kusomea usioumiza Macho reading mode 3 Duall app yenye kuwa na apps mbili mfano Facebook mbili kwa acount 2 tofauti 3 app lock [emoji359] inafunga app zote kwa wale simu kushikwa na watu wengi 4 mi acount hii ina vitu vingi kwanza kuiwekea ulinzi simu yako ya xiaom pia kununua vitu vya kampuni ya xiaom kwa unahisi, mi forums kwa matatizo yote ya xiaom yanatatuliwa hapo 5 infrared port kwa wale wanaopenda remote xiaom hawajakuacha mbali, 6 ukiwa na xiaom phone [emoji336] huna haja ya kuwazia betri kuisha na kuzima data kila mda Ukimaliza kuchat unaweka mfukoni tu inazima yenyewe na kujiwasha auto ukitaka kuendelea kuchati. Naifurahia sana hii kampuni Niko na redmi 4x chuma siwazii maji nk
Maneno ya mkosaji[emoji3]Mkiwa nazo wachache ndio zinakuwa kiboko?
Hilo jina ukisoma kwa uangalifu utagundua kuwa hizo ni "KICHOMI"