Mr. Mobile
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,439
- 1,633
Ni kutumia third party shipping company, kama MyUS ambazo mara nyingi wanapendelea kutumia courier service kama Federal Express, UPS, DHL, n.kKwa amazon unatumia njia gani ili mzigo upokelee posta kama tufanyavyo kwa aliexpress....!?
Hiv mkuu nikiwa na 350k naweza pata xiomi redmi note 7 yenye 3gb na 32gb??Ni kutumia third party shipping company, kama MyUS ambazo mara nyingi wanapendelea kutumia courier service kama Federal Express, UPS, DHL, n.k
Haupati, hapo ongezea kidogo kama 23k hivi.Hiv mkuu nikiwa na 350k naweza pata xiomi redmi note 7 yenye 3gb na 32gb??
Kama iphone 5SE alii-design huyo bwana Ive, eeeh nampa heshima sana na aondoke kwa amani.View attachment 1143394View attachment 1143395
Nimeamua kumkimbia Tim Cook baada ya Sir Jony Ive kuondoka. I hope MIUI wonct disappoint me.
Sh ngapi hiiView attachment 1143394View attachment 1143395
Nimeamua kumkimbia Tim Cook baada ya Sir Jony Ive kuondoka. I hope MIUI wont disappoint me.
Sh ngapi hii
Hii kitu umeagiza soko gani mkuu maana AliExpress hawaship Tz kwa sasa na kiasi gani?View attachment 1143394View attachment 1143395
Nimeamua kumkimbia Tim Cook baada ya Sir Jony Ive kuondoka. I hope MIUI wont disappoint me.
Mimi nimemuagiza mtu from India, ameichukua katika flash sales za flipkart bei ni Rs. 13999 ~ TZS 476,000
Redmi Note 7 Pro (Neptune Blue, 64 GB)
Mi Redmi Note 7 Pro ( 64 GB Storage, 4 GB RAM ) Online at Best Price On Flipkart.com
Buy Mi Redmi Note 7 Pro online at best price with offers in India. Redmi Note 7 Pro (Blue, 64 GB) features and specifications include 4 GB RAM, 64 GB ROM, 4000 mAh battery, 48 MP back camera and 13 MP front camera. Compare Redmi Note 7 Pro by price and performance to shop at Flipkartdl.flipkart.com
He jamaa inakuaje unakua na jeuri ya kupost kitu bila kibali cha mwenye uzi na ku wapa shukurani kina chief Mkwawa na msauziya na kcamp na huyu jamaa mwenye kusifu kamera za GoogleRasmi leo nami nimejiunga na wana Xiaomi hapa JF.
Nimechukulia redmi note 7 ya 64GB.
Watu mlikua mnafaidi haswaa.
Mnipongeze tu maana haka kasimu ni noma sana japo ni budget phone View attachment 1144048
Chaji inakaa 24hours data ON.
Mwenye hela aje nimpe Samsung yangu wala siitaki tena[emoji3][emoji3][emoji3]
Rasmi leo nami nimejiunga na wana Xiaomi hapa JF.
Nimechukulia redmi note 7 ya 64GB.
Watu mlikua mnafaidi haswaa.
Mnipongeze tu maana haka kasimu ni noma sana japo ni budget phone View attachment 1144048
Chaji inakaa 24hours data ON.
Mwenye hela aje nimpe Samsung yangu wala siitaki tena[emoji3][emoji3][emoji3]
Sijaelewa hapa ebu elezea kidogo mkuu umeagiza hilo soko au umemuagiza mtu aliyekuwa india kaja nayo au kakutumia na kukutumia kiasi gani na inakuaje ebu funguka vizuri kama inawezekana maana aliexpress hazigusiki na pia hawatumi Tz hizo.
Za pixel habari nyingine mkuu! Huo ni mfano tu.View attachment 1140523View attachment 1140524View attachment 1140525
And still I say, huwez linganisha hii na nyingn na hii ni mfano tu tumeambiwa!na huyu jamaa mwenye kusifu kamera za Google
Ni balaa tupuAnd still I say, huwez linganisha hii na nyingn na hii ni mfano tu tumeambiwa!
Mkuu unajua unanipa hasira saana, Ngoja nirudi MJINI, niagize Na Mimi.Rasmi leo nami nimejiunga na wana Xiaomi hapa JF.
Nimechukulia redmi note 7 ya 64GB.
Watu mlikua mnafaidi haswaa.
Mnipongeze tu maana haka kasimu ni noma sana japo ni budget phone View attachment 1144048
Chaji inakaa 24hours data ON.
Mwenye hela aje nimpe Samsung yangu wala siitaki tena[emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu unajua unanipa hasira saana, Ngoja nirudi MJINI, niagize Na Mimi.
Umechukua kwa ngapMi sijaagiza nimenunua k/koo
Umechukua kwa ngap
Kodi sio kiile Boss ila ni bahati mbaya tu wengi wanaagiza humu wakatwi kodi boss uoga wako tu.590
Japo kuagiza ni kama 480 lakini ukiweka kodi ya 20% hesabu inarudi pale pale 500+