Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Kwa amazon unatumia njia gani ili mzigo upokelee posta kama tufanyavyo kwa aliexpress....!?
Ni kutumia third party shipping company, kama MyUS ambazo mara nyingi wanapendelea kutumia courier service kama Federal Express, UPS, DHL, n.k
 
Hiv mkuu nikiwa na 350k naweza pata xiomi redmi note 7 yenye 3gb na 32gb??
 
c7938937-cdd3-4152-b20c-be554a3959b5.jpg
5ba62899-ad2c-42db-8c41-aaac2ba47fb1.jpg

Nimeamua kumkimbia Tim Cook baada ya Sir Jony Ive kuondoka. I hope MIUI wont disappoint me.
 
Sh ngapi hii

Mimi nimemuagiza mtu from India, ameichukua katika flash sales za flipkart bei ni Rs. 13999 ~ TZS 476,000

Redmi Note 7 Pro (Neptune Blue, 64 GB)
 
Rasmi leo nami nimejiunga na wana Xiaomi hapa JF.

Nimechukulia redmi note 7 ya 64GB.

Watu mlikua mnafaidi haswaa.

Mnipongeze tu maana haka kasimu ni noma sana japo ni budget phone
Screenshot_2019-07-01-19-52-35-011_com.android.settings.jpeg

Chaji inakaa 24hours data ON.
Mwenye hela aje nimpe Samsung yangu wala siitaki tena[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mimi nimemuagiza mtu from India, ameichukua katika flash sales za flipkart bei ni Rs. 13999 ~ TZS 476,000

Redmi Note 7 Pro (Neptune Blue, 64 GB)

Sijaelewa hapa ebu elezea kidogo mkuu umeagiza hilo soko au umemuagiza mtu aliyekuwa india kaja nayo au kakutumia na kukutumia kiasi gani na inakuaje ebu funguka vizuri kama inawezekana maana aliexpress hazigusiki na pia hawatumi Tz hizo.
 
Rasmi leo nami nimejiunga na wana Xiaomi hapa JF.

Nimechukulia redmi note 7 ya 64GB.

Watu mlikua mnafaidi haswaa.

Mnipongeze tu maana haka kasimu ni noma sana japo ni budget phone View attachment 1144048
Chaji inakaa 24hours data ON.
Mwenye hela aje nimpe Samsung yangu wala siitaki tena[emoji3][emoji3][emoji3]
He jamaa inakuaje unakua na jeuri ya kupost kitu bila kibali cha mwenye uzi na ku wapa shukurani kina chief Mkwawa na msauziya na kcamp na huyu jamaa mwenye kusifu kamera za Google
 
Haya funga gcam haraka sana [emoji16]
Rasmi leo nami nimejiunga na wana Xiaomi hapa JF.

Nimechukulia redmi note 7 ya 64GB.

Watu mlikua mnafaidi haswaa.

Mnipongeze tu maana haka kasimu ni noma sana japo ni budget phone View attachment 1144048
Chaji inakaa 24hours data ON.
Mwenye hela aje nimpe Samsung yangu wala siitaki tena[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Sijaelewa hapa ebu elezea kidogo mkuu umeagiza hilo soko au umemuagiza mtu aliyekuwa india kaja nayo au kakutumia na kukutumia kiasi gani na inakuaje ebu funguka vizuri kama inawezekana maana aliexpress hazigusiki na pia hawatumi Tz hizo.

Nimemuagiza mtu aliyekuwa India, yeye kainunua from flipkart then kaja nayo TZ
 
Rasmi leo nami nimejiunga na wana Xiaomi hapa JF.

Nimechukulia redmi note 7 ya 64GB.

Watu mlikua mnafaidi haswaa.

Mnipongeze tu maana haka kasimu ni noma sana japo ni budget phone View attachment 1144048
Chaji inakaa 24hours data ON.
Mwenye hela aje nimpe Samsung yangu wala siitaki tena[emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu unajua unanipa hasira saana, Ngoja nirudi MJINI, niagize Na Mimi.
 
Back
Top Bottom