Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Duuu xiaomi anajua hapa naona rice cooker lenye wifi yaani msosi ukiiva tu kina kinakua taarifa kupitia downloaded
Acha tu yaani. Kuna zile bulb za WiFi unabadili tu mwanga kwa simu yako, pia air purifier una control tu kwa simu, pia smart fan na hizi scooter za Mijia na kadhalika.
 

Attachments

  • 0ABD9951E40D1C60.jpeg
    19.2 KB · Views: 23
note 7 pro kwani wana global ROM? nachojua wana chinese version na indian only
ziko designed kwa masoko ya kule

hivo kuipata ni umuagizie mtu ambaye yupo kule akununue

mi yangu nimenunua china
Mkuu nataka note7 pro kwa njia ya posta
naipataje?
 
Global ROM zipo
note 7 pro kwani wana global ROM? nachojua wana chinese version na indian only
ziko designed kwa masoko ya kule

hivo kuipata ni umuagizie mtu ambaye yupo kule akununue

mi yangu nimenunua china
 
Global ROM zipo
Hiyo simu walisema hawaitakuwa available globally itakuwa ni kwa india na china. By the way hata chinese version haina shida huwa inakuwaga na English language sema ndio unaweza kuta baadhi ya sehemu hazijawa translated vizuri.
 
note 7 pro kwani wana global ROM? nachojua wana chinese version na indian only
ziko designed kwa masoko ya kule

hivo kuipata ni umuagizie mtu ambaye yupo kule akununue

mi yangu nimenunua china
Mkuu hiyo Chinese Version haina shida kwenye matumizi hapa kwetu Bongo ?
 
mi shida ninayoipata ni moja imekuja bila google play store and other google apps

nikafanikiwa kuinstall lakin nikiingia play store kuna mda inakubali kuna mda inagoma kabisa kudownload apps

lakin utaenjoy kwenye camera, battery life na feauters zengine
Mkuu hiyo Chinese Version haina shida kwenye matumizi hapa kwetu Bongo ?
 
Msaada kwa wataalamu kati ya Redmi Note 7 na Redmi Note 7 Pro ipi unaweza kuitumia pasipo usumbufu kabisa ukiwa Bongo ?
 
Wakuu watu wa posta wanazingua yaani mzigo wangu unaonesha utumwe Zanzibar, wao wameupeleka Arusha. Nimeenda posta kucheki mzigo wameniambia mbona mzigo umetumwa Arusha. Pia nimethibitisha Kwa kutumia website ya posta.

Je mzigo wangu naweza kuupata vipi usije ibiwa na nikipata hasara.
 
Hata mimi walikosea badala ya kutuma Makambako walituma Njombe. Lakini walirudisha nikapokelea Makambako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…