Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,711
- 3,279
Mkuu nataka note7 pro kwa njia ya postaDuuu xiaomi anajua hapa naona rice cooker lenye wifi yaani msosi ukiiva tu kitu kinakupa taarifa kupitia downloaded
naipataje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nataka note7 pro kwa njia ya postaDuuu xiaomi anajua hapa naona rice cooker lenye wifi yaani msosi ukiiva tu kitu kinakupa taarifa kupitia downloaded
Acha tu yaani. Kuna zile bulb za WiFi unabadili tu mwanga kwa simu yako, pia air purifier una control tu kwa simu, pia smart fan na hizi scooter za Mijia na kadhalika.Duuu xiaomi anajua hapa naona rice cooker lenye wifi yaani msosi ukiiva tu kina kinakua taarifa kupitia downloaded
Mkuu nataka note7 pro kwa njia ya posta
naipataje?
Feni linaendaje mkuu tujilipue sie team MiAcha tu yaani. Kuna zile bulb za WiFi unabadili tu mwanga kwa simu yako, pia air purifier una control tu kwa simu, pia smart fan na hizi scooter za Mijia na kadhalika.View attachment 1162840View attachment 1162841View attachment 1162843View attachment 1162845View attachment 1162846
Wakuu nataka RMN7 Pro kwa njia ya posta
Sijui naipataje na itanigharimu sh ngap?
Hiyo bado haijaingia sokoni rasmi, kuwa mpole
note 7 pro kwani wana global ROM? nachojua wana chinese version na indian only
ziko designed kwa masoko ya kule
hivo kuipata ni umuagizie mtu ambaye yupo kule akununue
mi yangu nimenunua china
Ooh, great newsIshatia maguu.... na mimi ndio naitumia hapa..... iko vizuri sana. I real appreciate the product.
Hiyo simu walisema hawaitakuwa available globally itakuwa ni kwa india na china. By the way hata chinese version haina shida huwa inakuwaga na English language sema ndio unaweza kuta baadhi ya sehemu hazijawa translated vizuri.Global ROM zipo
Global ROM zipo
note 7 pro kwani wana global ROM? nachojua wana chinese version na indian only
ziko designed kwa masoko ya kule
hivo kuipata ni umuagizie mtu ambaye yupo kule akununue
mi yangu nimenunua china
Naona pia kuna Mi A3 hii vipi boss wangu.
hakuna mkuu
Mkuu hiyo Chinese Version haina shida kwenye matumizi hapa kwetu Bongo ?note 7 pro kwani wana global ROM? nachojua wana chinese version na indian only
ziko designed kwa masoko ya kule
hivo kuipata ni umuagizie mtu ambaye yupo kule akununue
mi yangu nimenunua china
Mkuu hiyo Chinese Version haina shida kwenye matumizi hapa kwetu Bongo ?
Wakuu watu wa posta wanazingua yaani mzigo wangu unaonesha utumwe Zanzibar, wao wameupeleka Arusha. Nimeenda posta kucheki mzigo wameniambia mbona mzigo umetumwa Arusha. Pia nimethibitisha Kwa kutumia website ya posta.
Je mzigo wangu naweza kuupata vipi usije ibiwa na nikipata hasara.
Hata mimi walikosea badala ya kutuma Makambako walituma Njombe. Lakini walirudisha nikapokelea Makambako.